Mada ya kijinga kabisa kuwahi kuziona hapa jfWana Jf, kwa wale mlio karibu ya watoto wakati wa michezo yao neno "pooo" sio geni kwenu. Mara nyingi neno "pooo" watoto hulitumia ktk michezo yao hasa pale mchezaji anapoona yu ktk hatari ya kupoteza game hulazimika kutumia neno hili "pooo" ili kuepuka kupoteza ili ajipange upya. Kwa wale wakubwa wenzangu pia, "mgegedwaji na mgegedaji" neno "pooo" limekua likitumika kwa ishara(hasa kwa kusukumwa na mwenzio anayeomba poo) ama kwa kutamkwa na anayeomba "pooo". Mara nyingi mgegedwaji ndo hua anaomba "pooo" sina uhakika kama mgegedaji pia huomba "pooo". Ktk hali ya kushangaza kupitia m/kiti wao (6) CCM Wameomba "poooo" wapumue ili kuendelea na game dhidi ya UKAWA ambao hawataki apumue. Ili kuhalalisha hili wameamua kujificha nyuma ya bunge la bajeti ili wananchi msistuke. Kwa mtazamo wangu mimi game hili lisiwe na mazingira ya kuomba "pooo" mpaka kieleweke. CCM ione aibu kuomba "pooo" mbele ya kakikundi kama haka ka UKAWA.Tuendelee na ratiba tuliyoiacha ya bunge juni la bajeti ili uhalali wa kuomba pooo usiwepo
Mada ya kijinga kabisa kuwahi kuziona hapa jf
Wana Jf, kwa wale mlio karibu ya watoto wakati wa michezo yao neno "pooo" sio geni kwenu. Mara nyingi neno "pooo" watoto hulitumia ktk michezo yao hasa pale mchezaji anapoona yu ktk hatari ya kupoteza game hulazimika kutumia neno hili "pooo" ili kuepuka kupoteza ili ajipange upya. Kwa wale wakubwa wenzangu pia, "mgegedwaji na mgegedaji" neno "pooo" limekua likitumika kwa ishara(hasa kwa kusukumwa na mwenzio anayeomba poo) ama kwa kutamkwa na anayeomba "pooo". Mara nyingi mgegedwaji ndo hua anaomba "pooo" sina uhakika kama mgegedaji pia huomba "pooo". Ktk hali ya kushangaza kupitia m/kiti wao (6) CCM Wameomba "poooo" wapumue ili kuendelea na game dhidi ya UKAWA ambao hawataki apumue. Ili kuhalalisha hili wameamua kujificha nyuma ya bunge la bajeti ili wananchi msistuke. Kwa mtazamo wangu mimi game hili lisiwe na mazingira ya kuomba "pooo" mpaka kieleweke. CCM ione aibu kuomba "pooo" mbele ya kakikundi kama haka ka UKAWA.Tuendelee na ratiba tuliyoiacha ya bunge juni la bajeti ili uhalali wa kuomba pooo usiwepo
Ccm itaongoza nchi hii milele
Umesema kweli mkuu.Maana ili wadanganyika waamuke na kugundua kuwa matatizo waliyonayo kama vile watoto wao kupata elimu duni,huduma mbovu za afya ikiwa ni pamoja na wamama wajawazito kugalagazwa chini kwenye hospital za umma,barabara mbovu zinazowaua kila siku kwa ajari nk yanasababishwa na ccm ndipo itakuwa mwisho wa ccmCcm itaongoza nchi hii milele
Chopatatu, kata tatu, chalinze ndio habari ya mujini
Ccm itaongoza nchi hii milele
Hivi umemskia makinda??
Chopatatu, kata tatu, chalinze ndio habari ya mujini
Omba poo mkuu tred haina akili
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho wake. Tutafanya mapinduzi kuwaondoa kwa nguvu, mahekalu yao tutawanyanganya na kuyataifisha.Ccm itaongoza nchi hii milele
Gongo, Bangi, kipigo cha Kalenga, kipigo kingine cha kesho Chalinze kimefanya umerukwa na akili.