mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Salam wakuu na amani iwe kwenu,
Katika mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi ambacho kilianza jana. Kikao hicho kina mambo kazaa yamejitokeza lakini jambo la ajabu ni kuhusu Bunge na mkutano wa chama chao kuonyesha live.
Yani kipi cha maana bunge au mkutano wa chama chao cha CCM. Ndio viongozi wetu hao ni watu wa ajabu sana.
HOJA ZA MSINGI.
1.Watu walewale waliopinga kuonyesha wanaohaha kuonyesha mkutano wa chama chao live.
2. Watu walewale waliogoma kubadilisha katiba ya nchi ndio haohao leo wanaangaika kubadilisha katiba ya chama.
What a shame!
WANAFIKI UTAWAJUA KWA MATENDO YAO.