richclassic
Member
- Mar 7, 2014
- 19
- 1
kinachoendelea sasa hivi Meatu kwa CCM ni maigizo hivi sasa gari ya matangazo ya CCM linapita maeneo mbalimbali ya wilaya ya Meatu ikiwatangazia wananchi kuwa kesho 12/9/2015 mgombea uraisi wao atakuwepo meatu kwa hiyo wananchi wanaombwa kujipanga barabarani haswa centre kutawepo gari za kubeba na kuwaleta mkutanoni wananchi wengi wanaonekana kuwaonyesha ishara ya vidole viwili. Hadi hivi sasa mgombea ubunge wao wa jimbo la meatu salum khamis salum(jambo) ajazindua hata kampeni ila haki ila haki jimbo lina kata 16 na vijiji 58. Wakati mgombea ubunge wa Chadema Mh. Meshack Opulukwa anayetetea nafasi yake amezindua tayari amezindua kampeni zake tangu tarehe 5/9 na hivi sasa anachanja mbuga vijijini..