Ccm wanamjenga magufuli,Ukawa wanajenga taasisi.

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Obama alisema "African countries should establish Strong institutions not strong person.

Ccm wanajaribu kujenga mtu imara atakaefanya kazi katika mfumo mbovu lakini Ukawa wanajenga taasisi imara itakayoongozwa na mtu strong yaani imara.je Magufuri anaweza kubomoa mfumo au je lowasa anaweza kubomoa taasisi?

Mytake:mfumo unaweza kumbomia mtu imara kwa mtazamo wake lakini mtu imara hawezi kuimarish mfumo mbovu.
 
Polepole hajui na hataki kuelewa hesabu hiyo.

And always ccm they don't like and use numbers.
Kumbuka miswada muhimu unavyopitishwa Kwa hati za dharula.
 
Mtatiro kaonyesha differences ..Mtatizo kumbe hakuathiriwa na mizaha ya Lipumba kwa kiasi nilichokuwa nafirikiri.
 
Obama alisema "African countries should establish Strong institutions not strong person.

Ccm wanajaribu kujenga mtu imara atakaefanya kazi katika mfumo mbovu lakini Ukawa wanajenga taasisi imara itakayoongozwa na mtu strong yaani imara.je Magufuri anaweza kubomoa mfumo au je lowasa anaweza kubomoa taasisi?

Mytake:mfumo unaweza kumbomia mtu imara kwa mtazamo wake lakini mtu imara hawezi kuimarish mfumo mbovu.

Hiyo taasis ya Ukawa inaitwaje, ina malengo gani na kwa ajili ya nani?
 
You need to understand what is an institution✨! Once you know the meaning it will be easier for you to know whether an institution has or hasn't the name✨
 
huyo polepole alitingwa baada ya mtatiro kumpa hiyo fact.
 
You need to understand what is an institution✨! Once you know the meaning it will be easier for you to know whether an institution has or hasn't the name✨

You are not suggesting UKAWA is an institution, are you?
 
Back
Top Bottom