cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 351
"Ajidhaniye amesimama,Aangalie asianguke"semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Mkuu umeongea vizuri sana!watu kama hao wanahitaji elimu ya ziada mkuu,maana elimu waliyopewa bado haijawasaidia kabisa kuwafungua mawazo!eti mfano wa barca na kibangu fc kwenye maisha ya watu!anashndwa elewa siasa ni maisha!analeta akili za Mwigilu!kweli kua kwy chama fulani inabidi uwe na ujinga fulani hvAcha Porojo wewe
Mchakato unaoendelea Arumeru ni kitu cha msingi sana kwa watu wa Jamii hiyo, acha kabisa kupeleka maneno yako
ya bla bla zisizowasaidia wana arumeru kitu chochote.
Kinachofanyika hapo ni kitu kinachobeba mstakabali mzima wa elimu, afya, ardhi, uchumi na democrasia kwa Jamii hiyo
kongwe lakini iliyotopea kwenye Umasikini kwa sababu ya Uongozi Mbovu chini cha chama cha Magamba.
Sasa wewe unapoanza kuleta inferences za Barcelona sielewi kabisa dhamira yako kwa maendeleo ya watu hao. Mwenzako Mkapa Mzimu sijui Mzuka wa Nyerere umeanza kumuandama bado wewe. We Fanya siasa chafu tu huko tutakutana uzeeni.
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Mkuu najua humu Jamvini ni vigumu kupata support kwa CCM ya kutosha.Ila napenda kuuliza tena swali.semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Wewe Mnyiramba ni jirani yangu ila unatakiwa ujue kuwa CCM ya sasa ni sawa na mzoga wa fisi uliooza na sasa unashambuliwa na kila aina ya mdudu.semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Acha uongo wewe na chama chako chadema mmezoea kumwaga siasa za majitaka hakuna mtu anayeweza kumwaga pesa kwa wananchi jimbo lote ili achaguliwe kama ipo hiyo toeni taarifa takukuru muwakamate mwageni sera za chama chenu ili wananchi wawaelewe na kuwachagua majungu hayasaidii kitu wenzenu CCM wanamwaga sera nyie mmekalia majungu mwisho wa siku mnashindwa mnasingizia mmeibiwa kura hamjawahi kutokea hadharani ata siku moja na kukiri kushindwa kwenye uchaguzi wowote kuanzia uraisi mpaka majimboni nyie kila chaguzi mnalalamika tu watanzania wameshawazoea kwa tabia hiyo chafu, acheni majungu vinginevyo hamtafanikiwa kamwe!Kama unadhani ccm ni barcelona why bothering kutoa rushwa kwa wananchi wa arumeru?
Katika hili inaonekana Kibangu FC wako juu sana hadi mmeamua kutumia mbinu za nje ya uwanja.
Mlianza na chenkapa akawabeep chadema, walipompigia akaikimbia simu yake, sasa hivi yuko daslam anasikilizia lini atasuluhishwa na mama maria nyerere.
Kama ni kashfa ama matusi wewe ndiye unaongoza, si arumeru tu hata igunga ulikuwa unatukana sana lakini naona kwa arumeru umeongeza kiwango cha kutukana, jambo ambalo hatujalisikia toka kwako ni kufumaniwa na mke wa mtu, na kwa arumeru ukithubutu kichwa chako kitabaki huko huko milimani.
Ni aibu sana kwa kijana kama wewe kujiingiza katika siasa za majitaka kiasi hicho, hata wazee wa ccm wanakushangaa kwani pamoja na ubabe wao hawakuwahi kufikia kiwango cha kutoa kashfa na matusi kwa wagombea wenzao.
Mashabiki tunataka msawazishe magoli 3 kutoka kwa striker wa kibangu united Mhe V.Nyerere! otherwise mmeshafungwa 3 bila!semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
mapovusemeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Acha uongo wako kama una ushahidi, note number ya gari, unajua namba za TAKUKURU wapigie then watakuja, ni vema na wewe ukajitambulisha kwao manake mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana kesi ya kujibu.
Ukweli jamaa anayo hoja.... kama mtu mzima kaona gari kwa nini asiquote namba anaweka mambo ya kufikirika??? haina haja ya takukuru ila cha msingi akazie point yake, maana alivyoandika muanzisha thread ni kama yiupo eneo la tukioMbona issue ya Sioi mliwamata wale jamaa na hakuna kesi? TAKUKURU ni kama imekufa na inafanya kazi kwa wapinzani tu.
Mkuu sizushi wala nini, ni kweli kabisa. Nenda Tengeru sasa hivi utayaona. Wametoka leganga muda sio mrefu wanaelekea huko.
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
semeni yote mwisho wake tar mosi April. Sina mashaka na Arumeru. Barcelona ikicheza na Kibangu united hata ukashifu, uwatukane ama uwazomee barca watashinda tu. Mtu anayetamani kuona CCM INAPOTEZA ASUBIRI SEHEMU NYINGINE SIO ARUMERU
Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni. Jamani huo ni uongo unaenezwa na wafuasi wa chadema ili kuichafua CCM kama kawaida yao na siasa za majitaka,uzushi,majungu,fitina na matusi mtoto umleavyo ndivyo akuavyo walianza viongozi wao sasa imefika mpaka kwa vijana wao badala wamwage sera za chama chao wanamwaga majungu,wananchi wa jimbo la Arumeru Mashariki kama kawaida wafanyeni kitu mbaya kama walivyofanywa Igunga Na Uzini hii ndiyo dawa yao mpaka watajirekebisha na kuanza kusema ukweli na kuachana na siasa za majitaka!