CCM wamkosea heshima Edward Lowassa

CCM wamkosea heshima Edward Lowassa

Joined
Jun 21, 2014
Posts
49
Reaction score
9
Kwanza naanza na Salaam kwenu wana Jf ..
Naomba nikiri kuwa mimi ni mwana UKAWA niliyetokea kushawishika na kupendezwa na Mh Waziri mkuu aliyejiuzulu/ kuwajibika Feb 2008 kutokana na makosa yaliyofanywa na watendaji wake kuhusu sakata la RICHMOND (LOWASSA).....

Baada ya utangulizi huo naomba nitoe masikitiko yangu kwa wanachama wa CCM wanaojinasibu kwa kutangaza nia za kuutaka urais wa Tanzania 2015, kumetokea utitiri wa vijana ambao ktk siasa za chama cha mapinduzi wanapaswa wajifunze mengi sana kutoka kwa wazee ama baba zao ndani ya Chama(CCM) ...

Lakini imekuwa kinyume kwa hawa vijana ktk siasa, ninaposema vijana simaanishi udogo wa umri La hasha! Hapa nazungumzia wale wadogo kiumri na WADOGO/WACHANGA KTK SIASA ZA TANU/CCM....

Watoto hawa wamejiingiza ktk mbio za kuwania URAIS wa JMT sambamba na baba yao ktk siasa na uongozi hapa nchini, OK fine nawapongeza kuleta changamoto kwa baba yao lakini basi wawe na ADABU.. Chakushangaza watoto hawa wanafanya siasa za kumpaka matope baba yao na mwana CCM mwenzao kisa tu wote wanataka URAIS....

Kwasiku hizi za karibuni hawa watoto wameanza kumchafua baba yao kwa kumzushia mambo mengi ya ajabu ikiwa ni njia ya KUMUHARIBIA NDANI YA CHAMA aonekane ni mchafu, huku baba huyo akiwa hata hana muda wa kuwachafua wala kuwasikiliza watoto wake hao....

Kundi hilo la watoto ktk siasa za CCM linaloongoza kumchafua baba (Lowassa) linaongozwa na....

Mh Mizengo Pinda
Mh Membe
Mh Mwigulu
Mh January Makamba
Mh Nyalandu

Sasa naomba niwatahadharishe na kuwaonya hawa watoto kisiasa ndani ya CCM wanapaswa kumuheshimu kiongozi huyu mwenye historia ilitukuka ndani ya chama na serikali, amefanya mengi sana pale alipokabidhiwa utumishi wa UMMA na Wizara, alikaa ktk Uwaziri mkuu kwa kipindi kifupi sana lakini amefanya mengi yenye tija kuliko huyu aliyekaa miaka 8 na hakuna alichofanya zaidi ya kulia lia Bungeni....

Kwa upande wangu nampongeza sana Mh LOWASSA kwa ukimya wake licha ya matusi kashfa vijembe uzushi chuki na majungu juu kutoka kwa hawa wanae,, lakini wajue endapo baba akisema alipize yote hayo hakuna atakayebaki salama ...

Rai yangu ni kuwataka hao watoto waache matusi kwa mzee wao Lowassa, na pia nawaasa wana CCM wahakikishe wanamsimamisha LOWASSA ktk kugombea urais maana kwa hali ilivyo sasa hata sisi UKAWA tunaamini ujio wa Lowassa ikulu mambo yataenda vizuri, ifikie muda waTanzania wasiangalie chama waangalie UTENDAJI wa mtu...

POLENI KWA KUWACHOSHA LAKINI NIMEFANYA HAYA IN A GOOD FAITH .... Asanteni
 
Lowassa anaongoza kwa kuwaheshimu wapinzani wenzake
 
Mi sijaelewa bado!!!
 
wewe UKAWA au CCM? Acha kutudanganya
 
Lowassa anataka urais wa nini? Uwaziri mkuu ulimshinda mpaka akajiuzulu,
Akatanue na mihela yake huko lakini swala la urais tuwaachie Watanzania na sio mafisadi
 
eti na nyalandu anautaka urais, hii nchi kila mtu urais anauweza tu......ngoja ifike mda wa kuchukua fomu ntamwambia na bibi yangu akachukue fomu km nyalandu akichukua
 
nimependa sana mtoa uzi umejitahidi kujenga hoja vizuri japo kwa mawazo hao uliowataja kama watoto nao wana haki ya kikatiba kugombea kiti na wao wanaamini wanaweza kwahiyo hakuna wa kuwazuia! na nani amesema kuwa baba tu ndo ana haki ya kugombea urais? kwani hujaona baba ameishia Namanga na mtoto akafika US? hujaona baba ni standard seven mtoto professa muongo! wa mawazo yangu nadhani hakuna anaefaa kuniongoza ndani ya genge lenye ilani iliyoifikisha nchi mahali pabaya kabisa kiuchumi na kijamii na makundi ya panya road, mbwa mwitu , watoto wa mbwa na wamarekani weusi ni matokeo halali ya ufisadi unaoenziwa na genge hilo la magamba , ni hivi , kama unachota 1.6 billion za umma na kudeposit kwenye akaunti yako binafsi unategemea wengine watapataje mzunguko wa pesa uliyoichukua , unategemea dawa zitatoka wapi hospitalini na unategemea wengine watapata wapi hela ya kula? na unategemea pesa za kuwezesha elimu bure zitatoka wapi ? nafikiri huu ni wakati watanzania wanatakiwa wasifanye kosa uchaguzi mkuu ujao, tujaribu na wengine hawa wameshindwa kwa miaka hamsini! inatosha! Nyerere alisema nchi ina maadui watatu, ujinga , maradhi na umaskini , na sasa maadui badala ya kupungua wameongezeka, adui wa nne ni ufisadi! watanzania tuamke tuseme imetosha. nitafurahi watanzania wenzangu tukijaribu wengine!

tunawagawieni nyinyi ukawa awe mgombea kupitia ukawa maana hamna mgombea wa maana
 
Back
Top Bottom