voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
CCM na Kwaya yao Maarufu ijulikanayo....
"ASALI CHOIR GROUP"
Huku wakitamba na kutambaa na "Albamu" Yao maarufu inayotamba kote "Wizarani" mpaka "Mashinani" ijulikanayo kwa jina la....
"TUMSIFU MAMA MWINGI"
Ndani ya hii albamu kuna baadhi ya vibao vimeshika kasi kama vile
"Tanesco" kilichoimbwa na Njaa-Nuwai Makamba!
Kuna kingine kinaitwa...
"Royal Tour" kilichoimbwa Corabo na Saa-100 & Peter kijani-Barg.
Kabla ya hapo walitamba na kingine kilichoitwa "Mikopo-Hole"kilichoimbwa na Ndugu-Yai.
Sasa wametoka na kipya ndani yake kiitwacho "Bash-Raw" kimeimbwa na Kaa-Crow All!
Uchawa umekuwa ndio sifa kuu kwa mwana CCM!
Ukuwadi wa Kisiasa ndani ya CCM,ndio imekuwa Sera!
Wasemakweli wamegeuka Maadui wa CCM!
CCM Bila Rushwa ni Chali asubuhi na Mapema!
CCM bila "Geshi" la "Polish" ni wepesi kama karatasi!
CCM bila Uchawa haiwezi kuishi hata "siku 100" na "Saa 100"
#Kakurwa "Amekwaruza" mara Moja tu!
Lakini CCM wanajikuna nchi nzima!
Sasa kama kwa kauli moja,tena ya mtu anayewajua vizuri In & Out....mnaweweseka ovyo mbele ya jamii ya watanzania!
Vipi wakitokea kina Bashiru wengine watatu hivi?
CCM si mtapoteana?
Ni kwamba ndani ya CCM kwa sasa,wamevua...
"Itikadi"
na kuvaa
"Ukuwadi"
Muda utaongea Verry Soon!
Ila tutawakumbuka Sana hawa wazee