nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
makamba ni ukoo uleule wa kifisadi. je hayo makamba ameyajua leo? mbona makamba huyuhuyu alitumia nafasi yake ya katibu mkuu wa chama kumbeba mtoto wake january bila kuwa na sifa kule bumbuli? ni huyuhuyu mzee makamba watoto wake wanabebwabebwa tu akiwemo na yule binti ? makamba jana alikuwa anatimiza kazi yake ya kumwombea mtoto wake uwaziri na sio kingine. watanzania hatudanganyiki kamwe....
Ni upuuzi tu, kama mashamba wanayo kihalali kuna ubaya gani? yani uvivu wako wa kutafuta mali ndio na wengine wasitafute? Mbna mnakuwa bado na akili za kizamani, mnaleta mambo yale ya tangu enzi za nyerere kuwa tuwasubiri wengine kutafuta maisha bora, yani hata kama wenyewe bado wamelala tuwasubiri hadi waamke? Hata uhuru kenyata alipigwa madongo kama hayo kwamba familia yao inamiliki ardh kubwa lakin mwishon ndie alieibuka mshindi
Wakuu,
Siku zinavyoenda ndivyo CCM inavyotoa makombora yake (unleash new weapons)... Cha kushangaza UKAWA wanasema "tupuuze" ila kimsingi hizi dozi zinazo tolewa hazivumiliki.
Leo Makamba kamwaga mboga...kumbe Lowassa alikatwa 1995 baada ya kukutwa na Mali zisizo elezeka!!
Kumbe Lowassa ana mashamba makubwa.. Kuyakagua hadi upande helicopter!!
Kumbe Lowassa hakupigana vita ya iddi amini!!
Kumbe dada yake Lowassa kachukua tenda zote za halmashauri ya Monduli!!
Kumbe Lowassa hakerwi na masikini ana kerwa na umasikini wake!!
Kumbe Sumaye ni kabaila, anamashamba mengi mkoloni wa kingereza.!!
Na bado Makamba, kasema kaacha akiba. Najua akiba ataenda kuimalizia Tanga.
Kiukweli haya makombora ni mazito na kiukweli ukawa kwa sasa tumeshikwa pabaya.
Tujipange tena 2020, kwa sasa magufuli kesha fika ikulu.... Naona mkuu wa nchi naye yuko naye bega kwa bega anazidi kuumpa nondo Magufuli.

Napata shida na uwezo wako wa kufikiri najua unatumia mihemko zaidi kuliko kufikirisha ubongo wako kwa kina
Tatizo hawa nyumbu wao wanamkimbilia tu Lowassa hawajui kua anawatumia kama daraja tu