Wanadai eti wanasiasa ndo wanaongea ili kutafuta umaarufu, najiuliza kumbe nani aongee sasa? kwa lugha hii ya kizungu mwananchi wa kawaida ataongea nn? Ataongea nn ilohali hata kilichoandikwa yeye anaona karatasi tu? Anayeongea ni yule anayesoma na akaelewa alichokisoma lakini kwa hvi wananchi watabaki wasikilizaji wakishangilia wanaoongea kwa maana kupitia Lema ndo wanapata kujua mbivu na mbichi,mwacheni Dr.slaa atoboe ili wananchi walau wajue ubovu wa serikali yao