Sasa hivi kila TV wameiweka picha hii kuwa tangazo lao. TBC, ITV, CHTEN, STAR, DTV, kama wamefikia hatua hii ya kuchakachua picha ni hatari sana.
Ama kweli CCM ni wapuuzi na hawana akili. Na hii ni idea ya Makamba ambaye ndo wanaamini ndo mwenye akili kuliko wote CCM
Kazi ipo mwaka huu. Wanataka ku-justify wizi wa kura kwa kuwahadaa watanzania.