Ukiangalia jukwaa liloandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mwalimu JK Nyerere pale kigoma utaona mbele wametumia rangi ya Kijani na njano na nyuma ya Jukwaa wametumia zilisosalia hii Jamani si kuwahadaa wanachi?
Wao waendelee kuhangaika na rangi, nguo, kashfa, vitisho na yote yanayowafurahisha, wengine sie tunasubiri hukumu ya haki Oct 31 wanaita Crack of Doom!