CCM walalamikia ratiba ya Kampeni ya NEC

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
Chama cha mapinduzi CCM kimelalamika vikali kwa tume ya uchaguzi kuwa kimekula njama na CHADEMA kuihujumu CCM kwenye ratiba yake ya kampeni kwani ratiba ya CHADEMA inaonyesha kila wanapopita CCM na wanakwenda huko...CCM wamelalamikia hatua hiyo kuwa ni njama ...Rajabu Luhavi alisema haiwezekani CHADEMA walikaa wiki nzima bila kuzindua kampeni ile ilikuwa njama yao kutaka ratiba ya CCM itoke kwanza.

Cha kujiuliza hapa kama wewe unajigamba unashinda kwa kishindo woga wa ratiba ni wa nini....chanzo nipashe la leo

=================================

CHANZO: NIPASHE
 
ratiba wapange wao mkono wa kulia mkono wa kushoto walalamike hawa ccm nawaza wanawaza nini nashindwa kuelewa
 
nec haipangi ratiba vyama ndio vinapanga ratiba .....
 
Watulie mbona wanalia lia! Kwani NEC ndo inapanga ratiba za vyama? Kwahiyo wanataka nini?
 
nec iangaliwe, maana kuna tetesi fisadi mamvi anaweza penyeza rupia huko
 
Tulieni Wakati Umefika By Nambers' Namber Is Not Lie
 
baada ya jitihada za goli la mkono kushindikana sasa ccm wanategemea huruma ya nec
 
Mbona wanalialia.....!!!!! Kwani wao wamejipangajepangaje???
 
Magufuli amepita LINDI na Mtwara,,,baada ya Juma Duni kupita huko,,,,
Magufuli amepita Mahenge,Malinyi,Ifakara,Kilosa na Mo Town,ila Edo hajapita.....
Mbaya ni watu kugongana eneo moja kwa siku moja,maana iwe isiwe anakopita Maloki na Mamvi atapita tu hata kama sio kesho,kesho kutwa......
 
basi sawa tu... kwani CHADEMA na CCM wanagombea nchi tofati?
 
"Hata kama Chadema watatangulia katika mkoa au jimbo fulani kufanya mkutano wa kampeni na baadaye ikafuata CCM, eneo hilo hilo haiwezi kuaithiri Ukawa kwa sababu wananchi wameshaamua kuwa na mabadiliko," alisema

Hapo kwenye red font amemaliza kila kitu

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…