Watoto wangu nitawaamishia nje ya nchi sitaruhusu wachanganyikan na watoto wasio na maono nitapandisha bei niweze kulipa kodi sitatoa mkopo hata aje nani?
Nikipata dili yoyote hata ufisadi napiga. Nitarudi CCM nilindwe kama wengine. Sitakubali hasara jukumu hilo watabeba watanzania. Mtu yoyote atayelalamika ntamcheki sana
Sioni kipya ndan ya CCM.