Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,008 Reaction score 142,667 Oct 30, 2015 #1 I am speechless!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,492 Oct 30, 2015 #2 Nyani Ngabu said: I am speechless!! Click to expand... Mkuu ulitaka wafanyaje? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,008 Reaction score 142,667 Oct 30, 2015 Thread starter #3 Zakumi said: Mkuu ulitaka wafanyaje? Click to expand... Cha kufanya wanajua wao na ni juu yao. Nami jibutiko langu ni juu yangu.
Zakumi said: Mkuu ulitaka wafanyaje? Click to expand... Cha kufanya wanajua wao na ni juu yao. Nami jibutiko langu ni juu yangu.
General El Sisi Member Joined Jan 29, 2014 Posts 99 Reaction score 72 Oct 30, 2015 #4 Nyani Ngabu said: I am speechless!! Click to expand... Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nyani Ngabu said: I am speechless!! Click to expand... Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Oct 30, 2015 #5 General El Sisi said: Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA Click to expand... Kwani nani ametangazwa mshindi?
General El Sisi said: Uchaguzi fake kwa ushindi fake maana safari hii watanzania hawajatuangusha wamedeliver kwa upinzani na CCM hawajashinda uchaguzi mshindi ni UKAWA Click to expand... Kwani nani ametangazwa mshindi?
Zakumi JF-Expert Member Joined Sep 24, 2008 Posts 5,063 Reaction score 2,492 Oct 30, 2015 #6 Nyani Ngabu said: Cha kufanya wanajua wao na ni juu yao. Nami jibutiko langu ni juu yangu. Click to expand... Hapana mkuu ni lazima tuanze kuwaambia watu kuwa siasa sio ushabiki wa mpira.
Nyani Ngabu said: Cha kufanya wanajua wao na ni juu yao. Nami jibutiko langu ni juu yangu. Click to expand... Hapana mkuu ni lazima tuanze kuwaambia watu kuwa siasa sio ushabiki wa mpira.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,008 Reaction score 142,667 Oct 30, 2015 Thread starter #7 Zakumi said: Hapana mkuu ni lazima tuanze kuwaambia watu kuwa siasa sio ushabiki wa mpira. Click to expand... Kuwaambia unaweza lakini kuwapangia sidhani kama unaweza...
Zakumi said: Hapana mkuu ni lazima tuanze kuwaambia watu kuwa siasa sio ushabiki wa mpira. Click to expand... Kuwaambia unaweza lakini kuwapangia sidhani kama unaweza...
General El Sisi Member Joined Jan 29, 2014 Posts 99 Reaction score 72 Oct 30, 2015 #8 Nyenyere said: Kwani nani ametangazwa mshindi? Click to expand... Kwanini marais wa Afrika hupinduliwa?
Nyenyere said: Kwani nani ametangazwa mshindi? Click to expand... Kwanini marais wa Afrika hupinduliwa?