mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
mkuu sijahi kunywa na stegemeiHaya umekunywa bia gani na wewe?
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli zote zimejaa Mji umechangamka Bia na nyama choma zinanyweka huku kukiwa na Mkesha wa Taarabu usiku kucha katika viwanja ambavyo CCM watafanyia Mkutano,Tyr Mzee mkapa kaingia na kupokelewa na Chiligati na Mwigulu,wabunge wa CCM wanazunguka kila kona ya mji wa USA na Leganga katika baa huku wakiwanunulia vijana Viroba na bia kama njia za Ushawishi kesho kuja Mkutanoni
Wabunge wengine wamekwenda kulala Arusha Mjini baada ya Hotel zote kujaa na kubaki Guest House ambazo siyo hadhi yao,na ndizo walizopo Wabunge wa CHADEMA na baadhi ya waandishi wa Habari.
Kesho nitakuwa katika mikutano kadhaa ya wagombea na kuleta habari kamili
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi mgeni wenu wa Jamii forums
mkuu sijahi kunywa na stegemei
transit in Marry chatanda,Ice age Esther Bulaya,Zephana chiligati,na wengine wengi ukitaka nenda Kenny Garden prof maji marefu,Acha bwana!! Unataka kuniambia hao wabunge wa CCM wanaingia kila baa na kuanza kuwanun uliwa vinywaji wanaowakuta humo nakuwaambia "kunywa lakini kesho usituangushe" kwenye mkutano wetu? Hebu tupe jina moja tu la mbunge wa CCM aliyewanunulia bia na viroba vijana na utatajie na baa aliyokuwemo akitoa ofa hiyo.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
Magamba propaganda at work! Yaani wewe umepitia Guest Houses zote (zisizo na hadhi) hapo USA na kuona ni wabunge wa CDM tu waliopanga? Mapenzi mengine bwana, taab kwel-kwel.
mkuu hii nitaiweka kama signature yangu
hawa wabunge wa CCM wamekuja Fiesta na sio kufanya uchaguziNaona leo machangu wa arusha wanafaidi.... fullu ku_Malima watu leo
Hivi joni komba atakosekana hapo Picnic kweli. Mwigulu sa hizi nadhani atakuwa MTK bar.Naona leo machangu wa arusha wanafaidi.... fullu ku_Malima watu leo
Hivi joni komba atakosekana hapo Picnic kweli. Mwigulu sa hizi nadhani atakuwa MTK bar.