zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,362 Reaction score 9,882 Jul 3, 2011 #21 Jenifa said: libaba, wewe ni mtupu mno kichwani. unashindwa kujua daktari wa wakatoliki hawezi kutibu. sio kila anayejiita daktari anaweza kutibu binadamu. daktari wa wakatoliki ni slaa Click to expand... dada unafujo? vp umeshatoka saloon? mmasai kakusuka msuko gani leo?
Jenifa said: libaba, wewe ni mtupu mno kichwani. unashindwa kujua daktari wa wakatoliki hawezi kutibu. sio kila anayejiita daktari anaweza kutibu binadamu. daktari wa wakatoliki ni slaa Click to expand... dada unafujo? vp umeshatoka saloon? mmasai kakusuka msuko gani leo?
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Jul 3, 2011 #22 raisi wangu anachekacheka, waziri mkuu wangu analialia, nifanyeje jamani?
Kwamex JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 378 Reaction score 96 Jul 3, 2011 #23 mfereji maringo said: raisi wangu anachekacheka, waziri mkuu wangu analialia, nifanyeje jamani? Click to expand... Kucheka na kulia zote ni kelele, kwa hiyo wote wanapiga kelele una nafasi ya kuzuia kelele 2015.
mfereji maringo said: raisi wangu anachekacheka, waziri mkuu wangu analialia, nifanyeje jamani? Click to expand... Kucheka na kulia zote ni kelele, kwa hiyo wote wanapiga kelele una nafasi ya kuzuia kelele 2015.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,198 Reaction score 64,648 Jul 3, 2011 #24 Jenifa said: crap! crap! crap! kama crap ni tusi basi weye chukua tusi mara tatu Click to expand... nakupenda jenifa,karibu simba kapakatwa nikuchumu.
Jenifa said: crap! crap! crap! kama crap ni tusi basi weye chukua tusi mara tatu Click to expand... nakupenda jenifa,karibu simba kapakatwa nikuchumu.