ccm wachakachua vyombo vya habari?

ccm wachakachua vyombo vya habari?

Sam Godson

Member
Joined
Dec 3, 2010
Posts
8
Reaction score
0
wadau mbona kwenye taarifa ya habari ya saa mbil sio tbc,startv,itv,chanel ten waliorusha mkutano wetu ulioongozwa na rais wangu slaa kule tabora.
 
uchakachuaji umetokea hapo... Hawatak kila m2 aijue lakin itajulkana 2.
 
haitawasaidia kitu chochote wafa maji
lazima watapetape watahangaika sana mwisho wao umefika
 
Jf is more than those tv stations , you got things in details, so go through various thread, wacha wachakachue huko.
 
usikonde babu kesho jipatie nakala ya tanzania daima kila kitu hadharani usichelewe mafisadi wanaweza wakanunua kopi zote gazeti lisifike mtaani!!!
 
Back
Top Bottom