Tunataka wafanye maamzi kwa yale waliyoyapigia kelele wakazunguka nchi nzima ooooh tuna vua magamba....Afadhali japo wameanza kufanya maamuzi.
mwanzo mzuri
Haujajua wanapunguza matawi ati ili mibuyu iendelee kuwa minene..tehee..!!Thithiemu banaaa..mimi nilijua wanakata mibuyu kumbe wanafyeka matawi tuuu!!!
Kweli wezi wanaogopana sana!!!
Afadhali japo wameanza kufanya maamuzi.