CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Maamuzi ya kijinga ya CDM moja kumkubali edo la pili hili kususia chaguzi ndogo wakitegemea kutoboa chaguzi kubwa!..
Kupanga ni Kuchagua!
 
Na ruzuku pia msusie mapaka shume nyie!
Tuliza kiranga.sasa umeachiwa unalalamika nini badala ya kufurahi. Na wanapataje ruzuku wakat hawajagombea au kushinda kiti ktk uchaguzi. Akili zinginenusu kijiko cha chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…