Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
jama watafanya hivyo basi njia nzuri kwa UPINZANI.Kwa wafalme sijui kama kunakuwaga na kikwazo!
Umeambiwa mambo hayo yatafanyika kwa kibali na hali ya usalama ikiwa shwari. Machadema uwezo wenu wa kutafsiri mambo ni mdogo sana.Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?
Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?
Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?
MyTake
msimeno unakata pande mbili
Akili zenu sawa na za Ng'ombe.hata raisi asiweke mikutano mpaka 2020
Mkuu una maanisha nini???Msimemo .....!
Hali ya usalama sio shwari?Umeambiwa mambo hayo yatafanyika kwa kibali na hali ya usalama ikiwa shwari. Machadema uwezo wenu wa kutafsiri mambo ni mdogo sana.
Wewe ni Mtanzania kweli? Kama hata hujui yanayoendelea humu.Eti polisi wanasema wataruhusu mikutano ya hadhara baada ya hali ya usalama kutengamaa.
Swali la kujiuliza, Tanzania kwa sasa haina usalama ?
Mbona hatutangaziwi kuwa Tanzania iko katika hali ya hatari na ni hatari gani hiyo inayotazamiwa?
Usiite watu ng'ombe kwani inaonekana ng'ombe anaweza kuwa na akili kuliko wewe. Watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri. Umeulizwa uelezee mfano wa hali mbaya ya usalama polisi wanayotumia kuzuia mikutano lakini badala ya kujibu unatukana. YOU ARE GHOST RIDDEN!Akili zenu sawa na za Ng'ombe.