PreGE2025 CCM waachane na Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi. Hawataki Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..busara ni CCM kuteua wagombea wenye nia ya dhati ya kulinda amani ya nchi yetu.

..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms, wanataka kuendeleza dhuluma za uchaguzi wa 2019, 2020, na 2024.
Mama ako anaweza kuongoza akiteuliwa maana lazimantuende na demu
 
..ukweli ndio huo.

..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.

..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.

..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.

..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
Sasa ushauri gani huu wa kushauri CCM waachane na CCM?
Wewe shauri chadema waachane na Samia na Nchimbi kwa kwa sababu hawataki NR NE ya Chadema.
CCM hakuna NR NE.
 
Mkuu JK, JokaKuu , mbona unataka kuturudisha nyuma?,hii ilipita imekwisha siku nyingi!,sasa tunaangalia uchaguzi wa 2030,mgombea urais wa JMT tayari tunaye bado tuu mwenza kutoka Zanzibar!。We are so much ahead!。

Uchaguzi wa rais 2025 tuliisha ukamilisha,kinachosubiriwa ni kukamilisha tuu takwa la kikatiba kukamilisha taratibu,na matokeo ya urais wa 2025 tuliisha yatangaza kitambo sana!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Kwahiyo uchaguzi ulishapita?
Sema wazee wa JF mnaojiita GT mna utoto mwingi..!!
 
Tatizo sio CCM!hata ingekua chadema ingefanya hivyo hivyo!!

Tatizo Dola haikua pro active Hadi tukafika hapa,hakuna binadamu asiependa comfort zone kwenye maisha yake bila kujali itikadi ya chama chake!!

Nataraji kuona Bunge lijalo likijadili kumalizia mchakato,nitachukua fomu na hoja ya kwanza itakua ni hiyo "katiba mpya" yenye faida kubwa Kwa ccm kuliko hasta upinzani!ili Ajaye asiharibu!!
 
Mkuu JK, JokaKuu , mbona unataka kuturudisha nyuma?,hii ilipita imekwisha siku nyingi!,sasa tunaangalia uchaguzi wa 2030,mgombea urais wa JMT tayari tunaye bado tuu mwenza kutoka Zanzibar!。We are so much ahead!。

Uchaguzi wa rais 2025 tuliisha ukamilisha,kinachosubiriwa ni kukamilisha tuu takwa la kikatiba kukamilisha taratibu,na matokeo ya urais wa 2025 tuliisha yatangaza kitambo sana!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Hivi mkuu Pasco mpaka sasa hujaona kama uchaguzi wa mwaka huu lolote laweza kutokea.

Huoni kama kupigwa ndani kwa Lissu anaweza kutoka na nguvu ya ziada ambayo italazimisha reforms zifanyike na mgombea wenu wa Ccm ni dhaifu sana kwa uchaguzi huru na haki.
Sina voice within lakini naona uchaguzi unaokuja wa huu mwaka unaweza kuwa mgumu sana kwa mbogamboga.
 
Na mauwaji yakitokea, wajiandae kwenda The Hague

Sijajua ni Kwa nini wanashadidia wizi na udanganyifu wa kura ilihali huku mtaani vibaka wanabanikwa na kupigwa viberiti.
Wakubari tume huru, free and fair election…period
Mauaji ya keyboard warriors au? Maneno tu bila mzungu au kibaraka mwengine hamna mnaloweza labda safari hii mkawakodi alshabab
 
Hivi mkuu Pasco mpaka sasa hujaona kama uchaguzi wa mwaka huu lolote laweza kutokea.

Huoni kama kupigwa ndani kwa Lissu anaweza kutoka na nguvu ya ziada ambayo italazimisha reforms zifanyike na mgombea wenu wa Ccm ni dhaifu sana kwa uchaguzi huru na haki.
Sina voice within lakini naona uchaguzi unaokuja wa huu mwaka unaweza kuwa mgumu sana kwa mbogamboga.
Uchaguzi rahisi sana kikubwa mwenge ushakimbizwa kelele zitabaki mitandaoni tu hao mnaosema mbogamboga wanawajua huku uraiani wamejaa ma keyboard warriors tu ndo maana wanaojua uhalisia wanapambana tu humohumo ndani ya chama maana wanajua nje ya chama hamna kitu zaidi ya makelele tu
 
Mauaji ya keyboard warriors au? Maneno tu bila mzungu au kibaraka mwengine hamna mnaloweza labda safari hii mkawakodi alshabab
Mawazo yako ni kuwaza fujo tu... hiyo Alshabab inatokea wapi kama watu wanapewa haki zao za kikatiba?
 
..ukweli ndio huo.

..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.

..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.

..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.

..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
Huu ujumbe umfikie ndugu Lucas Mwashambwa
 
Mawazo yako ni kuwaza fujo tu... hiyo Alshabab inatokea wapi kama watu wanapewa haki zao za kikatiba?
Watu keyboard warriors ? Hayo mauaji yanatokea wapi wakati tunajua nyie ni ma keyboard warriors tu,,,,unaonaga kule kenya wanapigaga makelele mengi? Ila kazi wanafanya ila huku mijitu kubweka kila siku halafu inasakiziana kila keyboard warrior anasema wananchi wakiamka anajisahau na yeye mwenyewe ni mwananchi anaetakiwa aamke mwisho wa siku ndo yale watu wanapanga kuingia uwanjani asubuhi unakuta peupeeee🤣🤣🤣labda viongozi wao tu wanatokea ila hao wanaowajaza upepo mitandaoni wote wanakua wameufyata kwenye vitecno vyao wakingoja updates za walioamua kujilipua
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uchaguzi rahisi sana kikubwa mwenge ushakimbizwa kelele zitabaki mitandaoni tu hao mnaosema mbogamboga wanawajua huku uraiani wamejaa ma keyboard warriors tu ndo maana wanaojua uhalisia wanapambana tu humohumo ndani ya chama maana wanajua nje ya chama hamna kitu zaidi ya makelele tu
Mbogamboga wenyewe this time njaa imewajaa mpaka wanatoa meno ya akiba kila mmoja katoa meno kadhaa,njaa mpka white house mlinzi anatamani adondoke mjue hali Tete
 
Watu keyboard warriors ? Hayo mauaji yanatokea wapi wakati tunajua nyie ni ma keyboard warriors tu,,,,unaonaga kule kenya wanapigaga makelele mengi? Ila kazi wanafanya ila huku mijitu kubweka kila siku halafu inasakiziana kila keyboard warrior anasema wananchi wakiamka anajisahau na yeye mwenyewe ni mwananchi anaetakiwa aamke mwisho wa siku ndo yale watu wanapanga kuingia uwanjani asubuhi unakuta peupeeee🤣🤣🤣labda viongozi wao tu wanatokea ila hao wanaowajaza upepo mitandaoni wote wanakua wameufyata kwenye vitecno vyao wakingoja updates za walioamua kujilipua
Rudia kuandika, bado sijakuelewa una maanisha nini? Tafadhari mkuu.... Hisia pembeni, nyumba ni yetu sote.
 
..ukweli ndio huo.

..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.

..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.

..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.

..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
Pata chimbika nani yupo tayari kuporwa tonge mdomoni?
 
Back
Top Bottom