CCM Vs CHADEMA

CCM Vs CHADEMA

PSALM_1

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
289
Reaction score
100
Salaam wana JF

Angalizo dogo kwa wana mageuzi.

CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA. Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama. Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.

Kitendo cha ile clip ya afisa usalama wa juu kabisa wa CHADEMA kuwafikia CCM, regardless imelishwa maneno au la, kimeonyesha udhaifu mkubwa uliopo ndani ya usalama wa chadema. Na bado hatujui pengine kuna vingine vinakuja.

Inachukua hata mwaka kumshawishi mtu kujiunga na chama, lakini inachukua sekunde moja tu kumpoteza mwanachama.

Ushauri wangu kwa uongozi wa juu, na kwa wanachama, na kwa wafuasi wa chadema ni kuwa makini sana na mbinu chafu za wapinga mageuzi, hawa watu kila siku wanatafuta mbinu mpya.

Tusiwape mwanya wakatupelekesha mchakamchaka mpaka tukaomba dakika ya 90(2015) ifike haraka kwa sababu tumechoka, ila tuwapeleke wao mchakamchaka na tufike dakika ya tisini bado tuko fit na wao wawe taabani.
 
Ningekuwa Mbowe, ningeitisha kikao cha dharura cha wanaCDM na kuwashauri wake kimya kwanza.

Hii kila mtu kukimbilia mtandao wa kijamii na vi-statement inakiweka pabaya chama zaidi.

Watu tnapembua tu pumba na mchele, msidhani wapiga kura tuko mambumbu kivile.

Shut up for a minute, jeezy.
 
CCM hawana kitu cha kuwaambia wananchi ambo sasa wanajua uongo wao wa muda mrefu na ndio maana kila siku wanatafuta namna ya kukipaka matope CHADEMA.
Kila siku utaona wanatafuta namna ya kumshambulia na kuhujumu chama na viongozi wake lakini siku zote aliyesimama katika ukweli na haki atang'ara tu hivyo hata CCM watumie njia gani kukihujumu CHADEMA watashindwa tu.
 
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA.

Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama.

Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.

Kitendo cha ile clip ya afisa usalama wa juu kabisa wa CHADEMA kuwafikia CCM, regardless imelishwa maneno au la, kimeonyesha udhaifu mkubwa uliopo ndani ya usalama wa chadema. Na bado hatujui pengine kuna vingine vinakuja.

Inachukua hata mwaka kumshawishi mtu kujiunga na chama, lakini inachukua sekunde moja tu kumpoteza mwanachama.

Ushauri wangu kwa uongozi wa juu, na kwa wanachama, na kwa wafuasi wa chadema ni kuwa makini sana na mbinu chafu za wapinga mageuzi, hawa watu kila siku wanatafuta mbinu mpya.

Tusiwape mwanya wakatupelekesha mchakamchaka mpaka tukaomba dakika ya 90(2015) ifike haraka kwa sababu tumechoka, ila tuwapeleke wao mchakamchaka na tufike dakika ya tisini bado tuko fit na wao wawe taabani.

....

Mkuu hiki kinachotokea CHADEMA ni ajali tu kazini. Ukiogopa sana ajali kazini utakuwa hufanyi kitu kabisa.

Kwa taarifa mbinu wanayofanya CHADEMA ingeweza kufanywa na mtu yeyote anayetafuta wafuasi. Unazoazoa weeee, halafu baadaye ndo unaanza kuchuja. Yesu alizoazoa watu 12 akawaingiza jikoni kumbe kuna Yuda mule ndani.

Na yesu alikuwa Mtume, Mungu, or whatever. Sifa za Yesu from any perspective zinampa nafasi kuaminika alikuwa bora kichwani kuliko wengi wetu kwa sababu alikuwa na nguvu ya Mungu. Na bado MOLE alifanikiwa kupenya hadi kwenye cabinet yake!

NOW. Kwamba CHADEMA inaweza ikawa na MOLES ndani can be expected. Hapa cha Msingi ni kutokuvunjika moyo.
Tatizo langu na CHADEMA ni hii sera yao ya Upole. Hii sera mi binafsi siitaki kabisa. Wakati wa kuzichapa na CCM umefika. Full Stop.

Hostoria ya Binadamu inao ushahidi kila mahali hakuna watu huachia madaraka bila kichapo. Hiki Chama kinafadhiliwa na watu ambao wanajua kwa hakika chama kingine kikichukua madaraka biashara zao zitakosa uhuru wa kutuibia utajiri wetu.

Kwa hiyo CCM wanazo nguvu nyingi kiuchumi, kiteknolojia, na kivingine vyote unavyoweza kufikiria kwa sababu wana ufadhili wa wezi wa utajiri wa nchi yetu. Kitu peke yake wanachokosa ni nguvu ya umma uliopo miongoni mwa wanyonge katika taifa hili.

Upole sidhani kama utatupeleka popote!
 
Salaam wana JF

Angalizo dogo kwa wana mageuzi.

CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA. Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama. Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.

Kitendo cha ile clip ya afisa usalama wa juu kabisa wa CHADEMA kuwafikia CCM, regardless imelishwa maneno au la, kimeonyesha udhaifu mkubwa uliopo ndani ya usalama wa chadema. Na bado hatujui pengine kuna vingine vinakuja.

Inachukua hata mwaka kumshawishi mtu kujiunga na chama, lakini inachukua sekunde moja tu kumpoteza mwanachama.

Ushauri wangu kwa uongozi wa juu, na kwa wanachama, na kwa wafuasi wa chadema ni kuwa makini sana na mbinu chafu za wapinga mageuzi, hawa watu kila siku wanatafuta mbinu mpya.

Tusiwape mwanya wakatupelekesha mchakamchaka mpaka tukaomba dakika ya 90(2015) ifike haraka kwa sababu tumechoka, ila tuwapeleke wao mchakamchaka na tufike dakika ya tisini bado tuko fit na wao wawe taabani.

Mkuu,
Nakubaliana sana na wewe,lakini CCM wanachokisahau ni kuwa walipochukua dola waliichukua wakiahidi kutekeleza yale ambayo yangeleta tija na kufufua kabisa matumaini ya maisha bora kwa kila Mtanzania,lakini kinyume chake wamekuwa wapinzani kuhoji na kusahau kutekeleza yale waliyoyanadi kwa wananchi.

Watanzania wa sasa si wa miaka 47 iliyopita,utawanyima elimu lakini upeo wao mdogo wa kupembua mambo ndiyo pekee utakaowaongoza kufanya maamuzi magumu,muda unapita CCM wanafanya kampeni badala ya kutekeleza kile walichokisema na kukiahidi.
 
Salaam wana JF

Angalizo dogo kwa wana mageuzi.

CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani ya CHADEMA, na ni watu ambao wanaaminika sana ndani ya CHADEMA, na hao watu wamefanikiwa ku pretend na kuonekana ni very loyal kwa uongozi wa juu wa CHADEMA. Na hawa watu pia huwazushia kashfa wenzao/watendaji ndani ya chama na kuwachongea kwa wakuu wa chama, ili wafukuzwe au wawe demoted. Na wanafanya haya yote na mengine mengi tusioyajua kukivuruga chama, huku wakuu wa chama wakidhani kwamba watu hao wana nia ya kukijenga chama. Na hawa watu kwa namna moja au nyingine watahusika siku za baadae kwenye uvujaji wa mipango ya ndani ya chama, na hii inaweza kuwapa CCM urahisi wa kujua ni jinsi gani ya kui-slow down CHADEMA.

Kitendo cha ile clip ya afisa usalama wa juu kabisa wa CHADEMA kuwafikia CCM, regardless imelishwa maneno au la, kimeonyesha udhaifu mkubwa uliopo ndani ya usalama wa chadema. Na bado hatujui pengine kuna vingine vinakuja.

Inachukua hata mwaka kumshawishi mtu kujiunga na chama, lakini inachukua sekunde moja tu kumpoteza mwanachama.

Ushauri wangu kwa uongozi wa juu, na kwa wanachama, na kwa wafuasi wa chadema ni kuwa makini sana na mbinu chafu za wapinga mageuzi, hawa watu kila siku wanatafuta mbinu mpya.

Tusiwape mwanya wakatupelekesha mchakamchaka mpaka tukaomba dakika ya 90(2015) ifike haraka kwa sababu tumechoka, ila tuwapeleke wao mchakamchaka na tufike dakika ya tisini bado tuko fit na wao wawe taabani.
CHADEMA itaanguka kama viongozi wajuu wakinunuliwa na CCM, lakini kwa sera iliyopo ya sasa ya madaraka kushushwa ngazi za kanda itakuwa vigumu kuiangusha CHADEMA kwani chama kitakuwa na mizizi iliyo imara chini.

Wasaliti huwezi kuwachambua hata CCM wapo na hata kwenye biblia kuna mstari unasema "Yaacheni magugu yamee pamoja na ngano" na waswahili wakasema "kwenye msafara wa mamba na kenge wamo" sasa hatuwezi kusitisha msafara kisa kuna "kenge" wachache

CHADEMA itabaki Imara
 
Wewe sera bwana, huwezi kuipeleka CCM mchaka mchaka kwa propaganda, majungu mitandaoni, maandamano, vurugu zisizo za lazima. Mtatafuta mchawi lakini mwisho wa siku ukweli utabaki pale pale kuwa CDM mpaka 2015 mtakuwa mmechokwa na wananchi
 
Hapo umenena mkuu. Kweli watz wamechoka na ccm...cdm inapaswa kuwa makini kwa ziada

Hapa mnaongea kinyume au? manake maneno ya ccm imechokwa siyo ya leo ni tangu 1995, nadhani sasa CDM mnaona kama kwishne mnaanza kutapatapa, CDM mna jipya gani mpaka sasa?
 
CHADEMA itaanguka kama viongozi wajuu wakinunuliwa na CCM, lakini kwa sera iliyopo ya sasa ya madaraka kushushwa ngazi za kanda itakuwa vigumu kuiangusha CHADEMA kwani chama kitakuwa na mizizi iliyo imara chini.

Wasaliti huwezi kuwachambua hata CCM wapo na hata kwenye biblia kuna mstari unasema "Yaacheni magugu yamee pamoja na ngano" na waswahili wakasema "kwenye msafara wa mamba na kenge wamo" sasa hatuwezi kusitisha msafara kisa kuna "kenge" wachache

CHADEMA itabaki Imara
Hamna haja kutafuta mchawi? au LWAKATARE kisha nena kuwa kanunuliwa nini? teh teh teh teh, kazi ipo. Ngoja tusubiri tuone mnavyojikanyaga.
 
Viongozi wa cdm ushauri huo mchanganye na zakwenu ili kukiweka cdm mahala pazuri.
 
Ningekuwa Mbowe, ningeitisha kikao cha dharura cha wanaCDM na kuwashauri wake kimya kwanza.

Hii kila mtu kukimbilia mtandao wa kijamii na vi-statement inakiweka pabaya chama zaidi.

Watu tnapembua tu pumba na mchele, msidhani wapiga kura tuko mambumbu kivile.

Shut up for a minute, jeezy.

Hivi unafikiri akili ya wana CDM kwenye mitandao ya kijamii ina tofauti na akili ya Mwenyekiti wao Taifa?
 
Viongozi wa cdm ushauri huo mchanganye na zakwenu ili kukiweka cdm mahala pazuri.

kwa hili wanaweza manake CDM hivi sasa kila mtu na zake.Hakuna kuaminiana hata kidogo na nasikia kuna movement wanakuja nayo kabla ya 2015 ambayo hapana shaka damu itamwagika sasa wameanza kugawnyika katika hilo na ndiyo maana tumeanza kuzipata.
 
CCM hawana kitu cha kuwaambia wananchi ambo sasa wanajua uongo wao wa muda mrefu na ndio maana kila siku wanatafuta namna ya kukipaka matope CHADEMA.
Kila siku utaona wanatafuta namna ya kumshambulia na kuhujumu chama na viongozi wake lakini siku zote aliyesimama katika ukweli na haki atang'ara tu hivyo hata CCM watumie njia gani kukihujumu CHADEMA watashindwa tu.

Teh teh teh, CDM msitafute mchawi mnajihujumu wenyewe, mbona mnamkana kijana wenu Ludovick hadharani? Una taarifa kuwa LWAKATARE kakiri kuhusika na njma za kutaka kUmdhuru MSACKY? CCM inahusika vipi hapo? mtajikuna sana lakini mwishowe mtaumbuka.
 
ccm = chama cha machuma ulete

Tofauti wanafunzi wa zamani na wa sasa ni kwamba wanafunzi wa sasa wala kuku wa kisasa ni waropokaji hata kama hawajui jibu wataropoka tu. Kama hujui kitu hata kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kuropoka.
 
Back
Top Bottom