At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Habari ya wakati huu wanajamvi.
Natumaini wengi wenu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa huku mkiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya CORONA.
Samahani naomba kujua mtazamo wenu kama wadau wa siasa. Kati CCM Vs CHADEMA, ni nani ana nguvu mtandaoni.
Naanza mwenyewe kwa kudaclare interest mimi niko CCM ni damudamu sielewi chochote.
Kwa wakati huu, uliopita na ujao CCM imeendelea kuwa imara zaidi na zaidi kuliko CHADEMA.
CCM kwa sasa chini ya Rais Magufuli imeendelea kufanya vyema na kuwapa wakati mgumu vyama pinzani hasa CHADEMA. Hii imepelekea CHADEMA kukosa hoja kwa kuwa Magufuli amekuwa akifanya vyema katika mambo mengi nchini na kuishia kuwa na person attack kwa viongozi mbalimbali wa chama na serikali ikihusisha na wanachama wake CCM.
Mtazamo wangu juu ya CHADEMA nionavyo mimi mwaka huu naona kifo kikuu kwa chama CHADEMA, Wanaenda kuzikwa rasmi October tunaenda kukamilisha kile ambacho kilianzishwa na mheshimiwa Tulia.
Naomba kutoa hoja.
CCM Strengths:
1.
CCM Weaknesses:
1.
CHADEMA Strengths:
1.
CHADEMA Weaknesses:
1.
Karibuni kutoa hoja:
Naomba kuwasilisha.
Viva CCM Viva.
Viva CCM Vijana Viva.
At Calvary.