CCM vs Chadema 2015 elections

CCM vs Chadema 2015 elections

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Wakuu salama? naomba kuuliza tu.
Hivi mijadala mingi ninayoiona humu,kwanini nahisi shida ni chama kipi kitachukua madaraka na si Mkuu wa nchi atakuwa nani?
Chama kinaweza kuwa kizuri, lakini kama hakina mtu anayestahili si itakuwa matatizo?
Na kama huyu mtu ambaye kila m TZ anaona anafaaa, ni lazima apitie chama chake?Si anaweza kuhama akagombea kupitia chama kingine?
Naangalia mfano wa JKN mbona ana credit za kutosha kutoka kwa karibu kila m TZ?
Au ina maaana chama kikiisha chukua madaraka hata kiwe na rais mbovu hiyo sio shida?
Nadhani ingekuwa busara utaifa na mtu anayeweza kutoa maamuzi mazuri kwa usalama na maendeleo ya nchi vikawa mbele kuliko vyama
Natanguliza kuomba msamaha!
Wengine siasa hatuielewi vizuri SANA.
 
rais atatoka chama chochote lakn sio magambani. ukweli lazima tuuseme tu kwamba hakuna mtu aliye safi huko ccm,wote ni ukoo wa panya tena panya buku.
 
Huwezi kuiongoza ccm Hu ku ukiwa na n I a njema kwa watanzania utaishia njiani wapi sokoine
 
Back
Top Bottom