Mbona heading yako haipo sawa na ulikiandika ndani???? Pamoja na hayo wewe unategemea Nape Nauje aseme nini kuhusu chama chake kama siyo ushabiki?????
Mimi nadhani kama una hoja ya msingi kati ya CDM VS CCN weka poll watu wapige kura badaya ya kuzungumzia ukada.