Sirm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 561
- 370
Habari wana Jamiiforum habari nilizopata toka wilaya ya Rufiji-Utete mkoa wa Pwani ni kuwa wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM)
Wameapa kuhamia UKAWA kutokana na kitendo cha mgombea uraisi wa ccm Bw. John Pombe Magufuli kushindwa kufika leo kweny mkutano uliokua ufanyike wilayani hapa licha ya kumsubiri tangu asubuhi kama alivyoahidi Rais mstaafu bw. Benjamin. W. Mkapa alivyoahidi kuwa Magufuli atakuja siku ya leo ya tarehe 13/10/2015!
Via:-Mjumbe hauwawi