CCM ushindi asilimia 100

CCM ushindi asilimia 100

jaba jumah

Senior Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
150
Reaction score
50
Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii
 
Mkuu mwenye akili fupi hatokuelewa hata kidogo.
Na mm nakuunga mkono

Magufuli For Change.

Ila ntakayoyafanya 25 October anajua Maulana.
 
Sasa wewe umedhihirisha kuwa kichwani kwako kuna oil chafu.

Kama EL hajapita maeneo robo ya aliyopita magu,unadiriki vipi kupita kifua mbele na kuhitimisha ushindi kwa magu ilhali una ushahidi na kilichotokea tanga baada ya kusema ni ngome ya ccm!!!!

Nyie nyoosheni mapito,EL anakuja kuyafanya ya tanga juzi.
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii

Mkuu Wewe Tulia Hapa Kazi tu
 
Mleta mada hao wanaohudhuria mikutano yenu ni wapigaji tu... Wanakusanya nguo na pesa..!!
ccm mchana; usiku UKAWA... Viongozi wako wanalitambua hilo..!!

Alafu nikuulize umemaanisha ushindi wa 100%...?? Mbona tafiti zote za makamba zinaonesha tofauti..??

Ila tambua kuwa ushindi mkubwa wa Lowassa utatokana na kura za wanaccm; UKAWA wataunogesha tu..!!
 
Unajua 100% maana yake?

Halafu watu kama wewe unawakuta pia kwenye timu ya kampeni ya ccm ,lazima mchakazwe kwenye Tanzania hii inayobadilika.
 
Hapa kazi tu!!!! Hapa kazi tu kuhamishia mabilioni ughaibuni, tembo halali kwa uharamia. Maisha magumu kila uchao hapa kazi tu!!
 
katika kile kinachoelezwa kuwa ccm kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa ccm kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,hii ndio ccm ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii
mnajamba huku mmepiga headphone mkidhani ushuzi wenu hatusikii na bado
tunaongeza kidoogo ili muwe ndembendembe
 
Mleta Maada Umelewa Kiroba Eti Magufuli Ashinde Urais? Nikukumbushe Rais Ni Lowasa
 
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!
 
Huyu hawezi kupewa buku saba,kwani uandishi wake haukisaidii chama cha maccm,anashindwa kupika habari,halafu hana uzoefu,bora hata angesema Lowasa kazomewa angekua amekisaidia chama chao kidogo,lakini kwa uandishi huo kadharirisha chama
 
100%!labda unatathmini na kufikiri kwa makalio.
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM kinazidi kukubalika na kupendwa zaid na watu hali inayozidi kuimarisha ubora wake kwa wapinzani, Maeneo mbali mbali ambayo amekuwa akipita mgombea huyo amelazimika kusimama na kusalmiana na wananchi katika maeneo tofauti tofauti kulinganisha na wapinzani wake ambao bado hawajafikia hata theluthi ya maeneo ambayo Magufuli ameyaoitia huu ni ushindi tosha kwa CCM kutokana na hali ilivyo kwa sasa wapinzani wameshaanza kutoa maneno ambayo yana ashiria kushindwa baada ya kuona moto wa Magufuli si mchezo wameanza kupwaya na kupaniki hali iliyoanza kuonekana hata kupaniki kwao na kutoka nje ya mada,,Hii ndio CCM ambayo inafanya siasa za kisasa na zenye dira kwa jamii

Kimsingi CCM ilifanya uchaguzi mzuri kumpata mgonbea wao, na kwa kuwa huyo mgonbea utumishi wake haukuwa wa mashakamashaka, inampatia nafasi kubwa sana kuibuka kidedea, nakubaliana na ww kwamba wanafanya siasa za kisayansi sana kama elimu ya mgombea wao, na hii ndo itawaumiza sana UKAWA.

UKAWA walikurupuka sana na ndo maana pia tunakuwa na mashaka sana kuwakabidhi nchi, make siku zote mtu asiyejiamini na hata maamuzi yake pia huwa si sahihi, maamuzi ya kumchukua Lowasa na kumpatia nafasi kubwa kiasi hicho, hiyo imeondoa sifa ya upinzani, ndo maana msomi anabakia kuwa msomi na ambaye hakusoma atabakia kuwa hivyohivyo, sioni faida ya Lowasa kutua ndani ya chadema, ambacho kimemfukuzisha Dr.Slaa ni kuhoji faida ya yy kutua chadema kama angekuja na mtaji wa viongozi wengi kutoka ccm na kazi ingekuwa rahisi sana kufanya vizuri, lakini yy amekuja chadema na kutumia mtaji wa chadema, wakati huo pia kaubomoa huo mtaji pia. hayo ni maamuzi ya Mbowe, na kwa kuwa hakutaka ushauri wa Dr.Slaa, naamini itawatesa sana kupata nafasi ya urais.
 
Back
Top Bottom