CCM UDOM kumekucha

CCM UDOM kumekucha

piga kaz kamanda. Ile ofisi ya chadema udom tuliifungua sisi kule kijijini

sawa kamanda inawezekana tunafahamiana pia ila jamvini hapa ni kimya kimya safi sana ni moja kati ya hazina tunayojivunia ila ndo tuko kwa mikakati kujenga yetu kwa kuchangisha watoto wa wakulima hapahapa....tuombeeni shetani wa uharibifu ameshashindwa
 
ndiyo naona viongozi wanaingia. Namuona m/kiti na katibu wake bw. Elius ndabila wanawasili na nyimbo za ccm zikitumbwiza.

kweli pia nawaona hao madogo gamba hao ndo wanaingia kuzimu hao ...huyo ndibila wako huyo anaangukia moton huyoooooooooooooo.....chali......namwona na p...........huyo mwenyekiti wenu ......alalaalaaaaaaaaaaaa......chali.....naiona cdm hiyo na makamanda wake hiyooooo....inang'ara inadunda makamanda kwenye mikakati haooooo....mpango waja wanataka kujenga ofisi yao sio ombaomba kama madogo wa magamba......hao naona chama imara zaidi cha cdm zaidi kabla ya fitina za kufukuza makamanda na kuacha magamba.................ooooh god let me see those dayz ...since our day will come...
 
Moyon i fil pain kuona vijana wa chuo chngu wakipotea hv hv kwa kuyashabikia ccm na unyonyaji wao wkt kuna watunguliz wazur ambao walipigania harakat kwa kuonesha njia hd kuhatarisha masomo yao km kaka yng Mafuru,adiel, rafiki na sempemba!
 
usitishwe na uongo wa huyu dogo anayejikanyaga udom huwezi kulitamka hata neno ccm wanafunzi wakakuacha salama.............tupo makamanda ...akina mafuru wanatujua sema hapa hatusemi majina
 
Chuo cha magamba

sio kweli mi mi tu sio gamba na hawapo kabisa hao watu..........na hawathubutu hata kujitambulisha wanajua mziki wake wanafunzi wakikujua ni gamba ....wanajitambulisha hapa mtandaoni hawa kundi kundi dogo
 
Makamanda wa Chadema bado tupo imara.Nafsini mwa wanafunzi wa Udom ni Chadema tupu.Magamba wanachumia matumbo tu na sio kwa lengo la ukombozi wa mTz.Wana wa Udom pipozzzzzzzz Powerrrrrrrrrr
 
Huwa nawaambia rafiki zangu kuna vyuo vikuu za kata, na UDOM ni mfano wake

You have brain shrinkage, stretch it to the point of no return.INVESTMENT YA FEDHA ZA WANYONGE ILI VIJANA WAO WAWEZE KUKABILI CHANGAMOTO ZA DUNIA WEWE BADO UMESIMAMIA COMMUNALISM! Transitional period from Socialism to Capitalism, msilalamikie WAAJIRI,JIAJIRINI FURUSA NYINGI NCHINI SIYO POROJO ZA VYUO VYA KATA WALA TARAFA WALA MAGAMBA AU MAGWANDA.
 
what does it mean??
 
Ccm waanzie wapi? Muulizeni shabiby na ccm yake udom yaliyomkuta
 
Back
Top Bottom