CCM UDOM kumekucha

CCM UDOM kumekucha

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Ndiyo naona viongozi wanaingia. Namuona m/KITI NA KATIBU WAKE BW. Elius Ndabila wanawasili na Nyimbo za CCM ZIKITUMBWIZA.
 
Hiki chuo si ndo mwaka jana Kikura kapiga marufuku mambo ya siasa hapo chuoni?Mimi nimehitimu hapo mwaka huu july lakini chuo kimekaa kiccm sana,upinzani unakandamizwa na hilo ccm wanashangilia lakini wahitimu wa udom ndo tunapata shida mitaani.Waajiri wanatupga interview hadi nne kisa eti hicho chuo wana mashaka nacho
 
Kaka Siasa zimekatazwa chuoni na si nje ya eneo la chuo. Huku wapo kijijini mkabala na ofisi ya CDM UDOM.
 
Hiki chuo si ndo mwaka jana Kikura kapiga marufuku mambo ya siasa hapo chuoni?Mimi nimehitimu hapo mwaka huu july lakini chuo kimekaa kiccm sana,upinzani unakandamizwa na hilo ccm wanashangilia lakini wahitimu wa udom ndo tunapata shida mitaani.Waajiri wanatupga interview hadi nne kisa eti hicho chuo wana mashaka nacho

Nenda kijijini kwako kasambaze elimu ya ukombozi kwa wananchi na watakuajiri wao...... husisubiri ajira za makampun na serkari kwan kuna......$.
 
UDOM tunajua ni chuo cha magamba!someni nyie watoto!msije mka'sup'!Chuoni si pakupigia porojo za ccm.
 
Pole sana mkuu ila mabadiliko yanaanzia kwako, you have to prove them wrong.
Hiki chuo si ndo mwaka jana Kikura kapiga marufuku mambo ya siasa hapo chuoni?Mimi nimehitimu hapo mwaka huu july lakini chuo kimekaa kiccm sana,upinzani unakandamizwa na hilo ccm wanashangilia lakini wahitimu wa udom ndo tunapata shida mitaani.Waajiri wanatupga interview hadi nne kisa eti hicho chuo wana mashaka nacho
 
Bora sisi tulomaliza mwaka jana hayo majanga hayakuwepo kama yalivyo sasa ingawaje hyo haijawa suluhu yakunyimwa kujiunga na vyama pendwa haswa CDM,
 
Just to tell you magamba, your days are numbered!! sare za chama kijani zimeonekana around.
cjui inakuwaje wakati walisema sasa siasa na udom basi, au ni kwa siasa za chama fulani tu?
 
bora sisi tulomaliza mwaka jana hayo majanga hayakuwepo kama yalivyo sasa ingawaje hyo haijawa suluhu yakunyimwa kujiunga na vyama pendwa haswa cdm,

niko hapa hapi cafe nimekula gwanda langu nimetoka kwenye kikao cha kamati tendaji kwenye ofisi yetu ng'ong'ona kupanga mikakati ya kimapinduzi na haswa kufanikisha mipango yetu ya kujenga ofisi yetu ya chama kwa michango ya watz maskini wa udom ambao kweli wanaijua sasa salaam zangu kwa hao maprof. Wanaofanya siasa badala ya tafiti na mazingira bora udom ,salamu kwako wewe kigarura uliyepost uongo hapa.......cku zenu zahesabika waganga njaa
 
huwa nawaambia rafiki zangu kuna vyuo vikuu za kata, na udom ni mfano wake

usiseme hivyo mkuu unatukana makamanda wengi hapa......muua panya mmoja kama huyu asiwatukanishe mwatu makini waliopo hapa udom huyu ni njaa tu siunajua tena hana bumu anategemea mwenyekiti wao afuate posho kwa nape ndo awagawie wapost ***** hapa.....kasi haimalizwi kufukuza watu ...let me tell them the truth.....mi hawa nawafananisha na muhusika mmoja kwenye tamthiriya ya betray in the city aitwaye mulili aliiyekuwa anacheza na upepo afu mwisho wake ukawa mbaya sana
 
udom tunajua ni chuo cha magamba!someni nyie watoto!msije mka'sup'!chuoni si pakupigia porojo za ccm.

thubutu nani kakwambia magamba wanachao hapa zao ni mitandaoni hivi makamanda tupo harakati sana ,magwanda sana,m4c kama mafuriko huwezi kumudu kuyazuia kwa ndoo .....tugamba twakutafuta hapa ....maccm yalimaliza mengi ule mwaka wa kwanza yaliyodanganywa yawe ccm kujihakikishia ajira .....upeo kitu muhimu sana
 
ninyi wana ccm udom mnachumia tumbo

wanjaa kuna ***** mmoja aliwahi kutufuata makamanda anauliza kama cdm tunapataga chochote ahamie......tukamwambia wewe kundi dogo huku hatutaki wenye njaa bali tunataka wapiganaji wa kufa na kupona hata kenye hila za management ya udom kuibeba ccm na kuikandamiza cdm....kuna script bado naifuatilia ya kikao cha watawala wa hapa na tuccm njaa twa udom nikifanikiwa nitaweka cku hewani madudu ya hapa umma uyajue ....nife au nipone nikifanikiwa nitaiweka tu hapa......god is love....namwogopa anayeua roho sio auwaye huu mwili usio na faida yoyote zaidi ya kuwa chukizo na hasa kama unategemea miti shamba
 
Piga kaz kamanda. Ile ofisi ya CHADEMA UDOM tuliifungua sisi kule kijijini
niko hapa hapi cafe nimekula gwanda langu nimetoka kwenye kikao cha kamati tendaji kwenye ofisi yetu ng'ong'ona kupanga mikakati ya kimapinduzi na haswa kufanikisha mipango yetu ya kujenga ofisi yetu ya chama kwa michango ya watz maskini wa udom ambao kweli wanaijua sasa salaam zangu kwa hao maprof. Wanaofanya siasa badala ya tafiti na mazingira bora udom ,salamu kwako wewe kigarura uliyepost uongo hapa.......cku zenu zahesabika waganga njaa
 
mbona waliwahi kuwakamata cdm nje ya chuo mpaka leo kesi ipo mahakamani. Ukweli ni kwamba ccm udom

cku hizi magamba wapo kinadharia tu, hiyo court injunction iliwekwa na makamanda wakarudi hivi mchakato wa kufuatilia mahakamani unaendelea ili kuhakikisha kama ni fidia hawa jamaa wanalipwa ...tunafanya siasa za kisomi cdm cio za kishabiki kama hawa kundi dogo ccm......court always has jealous to see that justice is done and not to favour the mere politicians presenting the system through academic institutions......massage to any who is the one.
 
Back
Top Bottom