mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,188
Mbona unapayuka, usitufokee!Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.
Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.
Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.
Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijuiTundu lissu kesho anakabidhiwa analysis inayoonyesha Hata hayo majimbo yaliyochagua wabunge wa ccm hakuna la maana limefanyika kama ambavyo hakuna kilichofanyika kwenye majimbo yaliyochagua ccm, sijui magufuri atatishia wananchi kwa siasa za uongo upi miezi hii miwili.
Midege yenyewe imepaki.Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijui
Midege yenyewe imepaki.
zaidi ya hivi vinne hana vya kuwaambia watz,mabeberu,ndege,sgr na stiglers sasa sijui mtu wa handeni,pangani vinamsaidia nn,Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijui
Eti unaenda kumwimbi Flyover ya tazara Mwamanchi wa Manyoni😅😅zaidi ya hivi vinne hana vya kuwaambia watz,mabeberu,ndege,sgr na stiglers sasa sijui mtu wa handeni,pangani vinamsaidia nn,
hali wapinzani wanayo mengi ya kuwaambia wananchi.tuliwaonya ccm msizue shughuli za siasa ili wapinzani wasiwe na mapya ya kuongea yasiyozoeleka kwa wanachi
...na sio nahitaji yao!Eti ataenda mpui kuwaambia amenunua Ndege na kujenga SGR wakati hivyo vitu hata hawavijui
Wewe upo upande gani mbna waonekana ndyo mnafiki no 1!Washabiki wa CCM na CDM karibia wote Ni Mental victims.
Hawana uwezo wa kutofautisha jema Wala baya.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.
Wengi wao Ni Wanafiki Wanasapoti za kinafiki na wakipinga wanapinga kinafiki hata Kama ukweli wanaujua.
Hawa watu Ni wabishi kuliko mtu yoyote yule Wanaweza bisha kuwa serikali haijafanya lolote lile kwa wananchi wake hata Kama imefanya au serikali imefanya Mambo haya na Yale kwa wananchi wake hata Kama haijafanya.
Ogopa sana Hawa watu wanaojiita wanachama wa vyama vya ki Afrika.
Wapo tayari kuchagua hata vichaa waongoze jamii kisa tu wanatoka katika chama Chao.
Mtaji ni watu na sio dola,anayemiliki watu ndie anaemiliki dola,pili dola ipi hio hawa watendaji walionyimwa haki zao za utumishi mfano nyongeza za mishahara.Hakuna CCM mwenye akili mwaka huu atampigia kura au kampeni Magufuli.
Kwa alivyowafanya Nape, Kinana, Makamba seniour na Junior na Membe ??? Hapo hujaweka aliyowafanya Lissu na viongozi wa Chadema(kuwafunga jela) Amini maneno yangu , hakuna Mwenye akili timamu mwaka huu atampigia kampeni au kura Magufuli mwaka huu!!!
This guy is a sadist!!