CCM tuunganishe nguvu pia

CCM tuunganishe nguvu pia

MdugeH

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
61
Reaction score
23
Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Makamba, Ngeleja, na Lowasa kuweka kando tofauti zao na kushirikiana kuwakabili vilivyo UKAWA.

My take: Nina fahamu kuna mijitu itatoka povuu sana badala ya kujadili ukweli huu mchungu. Have some pills if in case you feel anxious, it might help you calm down.
 
Ukawa wepesi sana wakati ukifika hutaamini yatakayo wakuta kwenye anga ya siasa.
 
Sijaona kiongozi hata mmoja ambaye anaweza kuleta tija kwa watanzania akitokea ukawa karibia wote ni kundi la waroho wa madaraka tu.
 
KIBAKI + ODINGA= 2007
fikiria sana utajua kwanini jibu ni 2007,halafu yakumbuke matusi,kejeli na kashfa walizopeana halafu tafakari upya kuhusu 2015.
 
Itakuwa vema hao unaowataja wakaungana, na wananchi tutajua kuwa ni uchaguzi kati ya genge la majangili na mafisadi dhidi ya watu wema.

Dr. Slaa, Prof. Lipumba, Mbatia na Makaidi hakuna yeyote kati yao ambaye ni fisadi. Lowasa mwizi wa Richmond, Membe, Wasira, Sita, Mwakyembe na Ngeleja, wote hao mwaka 2005, walitumia hela ya EPA katika kampeni zao. Kila mmoja akipewa kati ya 50 na 80 milioni, zilizokuwa zikratibiwa na Kagoda chini ya nguli wa ufisadi RA. hakuna mgombea hata mmoja wa CCM ambaye mwaka 2005 ambaye hakutumia hela ya EPA. Huku zaidi ya 50% ya hela hiyo ya EPA ikitumika kwenye kampeni ya Kikwete. Kikwete ni kiongozi aliyewekwa kwenye nafasi ya urais kwa pesa ya wizi.
 
Mbona hata yule mchawi wenu Wasira alitabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013 lakini mpaka leo haijafa?

Kwani utambilisho wa Chadema kwa sasa ni upi?.. Kitendo cha kuungana na vyama ilivyokuwa ikivipinga hapo awali huoni kama ni alama tosha ya kifo cha CDM kama ilivyotabiriwa na Ngumi nzito Wassira.. what is your identity now as a party other than UKAWA.?
 
ki ukwel UKAWA inakuja kwa kasi sana. Nina wasiwasi na ccm inaweza kua mwisho wao
 
Umemsahau na Tlp, Cheyo na Hamad Rashid , Dovutwa ambao ni matawi ya Ccm.
 
Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Makamba, Ngeleja, na Lowasa kuweka kando tofauti zao na kushirikiana kuwakabili vilivyo UKAWA.

My take: Nina fahamu kuna mijitu itatoka povuu sana badala ya kujadili ukweli huu mchungu. Have some pills if in case you feel anxious, it might help you calm down.

attachment.php
 
Na olé wako usikike umetaja jina la UKAWA maeneo ya LUMUMBA pale makao makuu ya kuratibu ufisadi........ Nasikia ni uhaini.
 
Makundi kwenye mbio za Urais CCM hayakwepeki.

Kama ni ushirikiano tayati CCM tuna ushirikiano na TLP, UDP, ACT-Tanzania, ADC, CCM tuko makini bwana.
 
Kufuatia kitendo cha vyama vya upinzani chini ya mwamvuli wa UKAWA kuungana na kushirikiana pamoja na kutuhumiana huko nyuma kwa mf Mh Mbatia kutuhumiwa kutumika baada ya kuteuliwa na Rais kuwa mbunge wa viti maalum, Leo hii wanakula meza moja basi ni wakati wa Membe, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Makamba, Ngeleja, na Lowasa kuweka kando tofauti zao na kushirikiana kuwakabili vilivyo UKAWA.

My take: Nina fahamu kuna mijitu itatoka povuu sana badala ya kujadili ukweli huu mchungu. Have some pills if in case you feel anxious, it might help you calm down.
Kati ya hao uliowataja hakuna wa kuwa Rais labda Membe kwa sababu ya uzoefu wake kama Foreign Minister na pia ameonyesha kuwa siyo mdini.
 
Ukawa kiboko yao magamba. Kwa mtego huu wa ukawa kwa ccm hakika vyama vya upinzani visivyo ndani ya ukawa vitaumbuka! Hivi vitasema nini kwa wananchi uchaguzi ujao wakati wanaume wameungana! TLP NA UDP mtafanyaje compeni zenu mwakani? Mmeumbuka chezea ukawa we ye!
 
Back
Top Bottom