LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Nasikia harufu ya unafiki hapa
hali yenu hivi sasa itakuwa mbaya sana. Maana udini umepigwa marufuku, kesi ya ugaidi imefutwa, mlikuja na hoja za elimu ya mbowe na mnyika hakuna aliyewasikiliza. Ukabila tu ndiyo karata yenu ya mwisho kwa sasa; na yenyewe itakapoanza kuleta madhara, mtasimama tena kupiga marufuku.
mbona wanaye "msomi" dr benson bana!?
Nasikia harufu ya unafiki hapa
Nasikia harufu ya unafiki hapa
nasikia una ukimwi auNasikia harufu ya unafiki hapa
wanaenda kujiandaa na propaganda nyingine zaid ya ile ya ugaid saiv watakuja na ya " kuserukambarize"Washauri wote nguli na wa idara mbali mbali za kichama tunahitajika Lumumba Dar es Salaam 'kubuni' mbinu mpya za kupambana na changamoto za vyama vya upinzani, wanaharakati na wananchi kwa ujumla. Kuanzia Jumatatu, Lumumba itagubikwa na vikao vya hapa na pale. Tuna mambo mengi jadilifu. Tuna mzigo mkubwa kwasasa. Tumeambiwa Bungeni mambo yameshatulia na sasa turejee Dar es Salaam 'kukilinda' chama kisera na kiutekelezaji. Tutatoka vipi? Kaeni chonjo! VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam(sasa Dodoma)
Hali yenu hivi sasa itakuwa mbaya sana. Maana udini umepigwa marufuku, kesi ya ugaidi imefutwa, mlikuja na hoja za elimu ya Mbowe na Mnyika hakuna aliyewasikiliza. Ukabila tu ndiyo karata yenu ya mwisho kwa sasa; na yenyewe itakapoanza kuleta madhara, mtasimama tena kupiga marufuku.