VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
VUTA-NKUVUTE chadema hatuna mchezo mwendo ni wa micharazo tuUrais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!
Kipigo cha Sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata Sumbawanga jamani!?
Hivi,kama CCM ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.
Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. CCM,turudi kwenye mstari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!

Kwa hali ilivyo CCM dawa ya makundi labda wanaoyaongoza wakihurumie chama lakini kukiendelea hivi tutaandika historia Mpya....
lakini walioasisi uhasama na watu ni viongozi pale walipoacha kutenda kwa kutazama Sera badala yake walitenda ili kumkomoa Fulani.
Pathetic
urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!
Kipigo cha sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata sumbawanga jamani!?
Hivi,kama ccm ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.
Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. Ccm,turudi kwenye mstari!
Mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam