Laiti ningalikua Nape pale kwenye nyumba ya watani zetu wa kijani, hakika ningefanyia kazi maoni ya huyu ndugu yetu 'Burigi' wa hapa JF pamoja maoni mengine yaliowahi kutolewa na rafiki yangu lakini Mwana-CCM Ndg 'Mchambuzi' wote wa hapa hapa jukwani.
Badala yake tulichokishuhudia hasa kwenye uzi huu na nyuzi nyingine kibao za Ndg Mchambuzi ni kushambuliwa ile mbaya na wadogo wa CCM waliomo humu na hata kuwabandika nembo za CHADEMA eti kwa sababu tu ya mawazo yao miba.
CCM chonde political tolerance ni muhimu sana hata kama kupoteza haiba kote huko ni kuchungu kiasi hicho.