CCM: Tunayo ya Kujivunia.....

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,827
Reaction score
12,321
1. Rangi ya kijani, Migomba, michicha etc (isipokua bange) ina rangi ya kijani - Lusinde kwenye kampeni Arumeru.
2. Shule za kata, CHADEMA hawajawahi jenge shule yeyote ya kata tangu mfumo wa vyama vingi uingie 1992 - Mwingulu, wiki mbili zilizopita Bungeni.

3. Ujio wa Obama: CHADEMA hawajawahi mleta Obama tangu tupate uhuru - Next ...
 
Tumetoa watu wengi kucha, CDM hawajamtoa hata mmoja....
 
Tumebambikia wengi kesi....CDM hawajawahi
 

Hata mabomu yanayolipuka ni cha kujivunia CCM pia
 
Tuna mafisadi wengi-Juliana Shonza akiwa Mbeya
 
Tunaifaidi nchi watu wachache....Cdm hawawezi fanya hivyo!
 
Wana uwezo wa kusafirisha pembe za ndovu, twiga n.k kenda nchi za nje bila watu wa usalama kuona
 
CDM hawajawahi kuamuru matokeo mabovu hata ya form 2 tu, yasahihishwe upya.
 
Wanajivunia jembe na nyundo kwenye bendera yao nyundo hiyo hutumika kutugonga vichwani kutuumiza na kutudidimiza watanzania huku jembe likituchimbia kaburi na kutufukia... Watz bila kukataa jembe na nyundo tutaendelea kuwa chini
 
CDM Haijawahi pia hata Zanzibar kurusha bomu wala risasi, ccm, mkapa,nyerere,mwinyi,kikwete wacha wajivuniee wametuuuwa sana zanzibar, wamekuja na mpya sa ya ugaidi mara dini, alimuradi watu watolewe kwenye malengo.
 
-Tumefanya ujangili wa kutosha hadi karibu tunamaliza tembo wote
-Tumeficha pesa za kutosha uswizi
-Tumemuua Mwangosi ambapo tuliwambia polisi wamzingire.
-Tumeng'oa kucha,meno na kumtesa Ulimboka na kusemaAliyehusika ni siri ya taifa.
-Tumefanya kidato cha nne kufeli kwa 60%
-Tumesaini mkataba wa miaka hamsini na rais wa china kwa masharti magumu
-Tumekumbatia mafisadi wote(list of shame)
-Tumekumbatia wauza unga wote na madawa ya kulevya.
- Hatutoi majibu ya uchunguzi baada ya kuteka watu.
-Tumevaa miwani ya mbao,hatuoni wala hatujali wanaokufa kwa mabomu
-Tumeleta,tumeendeleza na kudumisha umaskini
-Tunhujumu uchumi kwa kisingizio cha uwekezaji.
-Tumeuza ardhi ekari elfu tatu kwa miaka 99 na kulipwaTsh 250 kwa eka moja kwa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…