Wakihudhuria ama wakisusa inatusaidia nini kama Taifa? Rais Karume hakuhudhuria baadhi ya matukio ya kitaifa, kelele nyiiingi. Jana kahudhuria, sijui kama Taifa tumefaidika vipi na kuwepo kwake. Sasa naona tunaanza kutafuta ni nani kakosekana kwenye tukio hilo .... kwani imeandikwa wapi kwamba hao wanaotajwa ni lazima, lazima wahudhurie ....