hiyo study imefanywa na maprofesa wa canada, watu wenye ueledi wa hali ya juu katika siasa! Ikifanywa na kina bana mnasema maprofesa na njaa na wanajikomba, sasa imefanywa na wageni bado mnasema ipo bias......wakati mwingine tujifunze kukubali hata mambo ambayo hatupendi kusikia..that is democracy
Nafurahi kuona umeguswa hadi ukaamua kutembelea profile yangu! karibu sana, kujiunga tarehe Fulani au mwezi Fulani haimaanishi mtu ni mgeni humu, wengi tumekuwa tukifatilia JF kama guests..nafikiri ukicheki idadi ya guests humu huwa ni wengi sana mkuuMkuu Kashaga
Umejiunga na JF tarehe 19 April 2013 wiki jana na location yako ni Morogoro. Ni kipindi hicho hicho Kinana katibu mkuu wa CCM na Nape katibu mwenezi wa CCM wakiwa katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani Morogoro. Najaribu kupata tafsiri tu.
Mimi nakushauri bure; fanya utafiti wako; huu utumwa wa kufanyiwa utafiti na watu kutoka nje ndiyo tunaishia kuwa kama mabata viwete. Hii study aliileta Mchambuzi ikiwa na takwimu, tukazijadili na mjadala unaendelea.hiyo study imefanywa na maprofesa wa canada, watu wenye ueledi wa hali ya juu katika siasa! Ikifanywa na kina bana mnasema maprofesa na njaa na wanajikomba, sasa imefanywa na wageni bado mnasema ipo bias......wakati mwingine tujifunze kukubali hata mambo ambayo hatupendi kusikia..that is democracy
Hongereni CCM kwa utafiti wenu.
Mimi nakushauri bure; fanya utafiti wako; huu utumwa wa kufanyiwa utafiti na watu kutoka nje ndiyo tunaishia kuwa kama mabata viwete. Hii study aliileta Mchambuzi ikiwa na takwimu, tukazijadili na mjadala unaendelea.
Hitimisho lake kivyangu NI UTAFITI USIO NA HITIMISHO SI VYEMA KUUTUMIA KATIKA MKAKATI WO WOTE WA MAANA kutokana na mazingira, sampuli ya maswali na walioyajibu na wakati yaliyotumika.
Kwa masilahi ya CCM furahieni lakini msisahau kuwa CCM imekuwa kwenye madaraka kwa ghilba la laghai wakati wapiga kura wao (hwajulikani) wako katika hali ya kondom iliyotumika.
Wana JF heshima kwenu wakuu;
Kuna mdau mmoja katutonya hapa Jamvini kuhusiana na issue ya CCM kuajiri vijana wasio jitambua, wa kawa- mbwa waliozungusha round about, kazi yao kubwa ikiwa ni kushinda na kulala kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kupika na kusambaza uongo na majungu. Nashawishika kusema Revocatus Kashaga ni miongoni mwao; Have a look;
Join Date : 19th April 2013
Location : MOROGORO TANZANIA
Posts : 20
Rep Power : 305
Likes Received10
Likes Given2
Kuna ukweli furani japo wengi hatutaipenda!
Uwingi wa watu kwenye mikutano na maaandamano ni tofauti na wingi wa kura kwenye ma-box.
Mkuu utafiti ukifanywa na yeye au taasisi za ndani bado hamtaamini , lazima mtasema tu kuwa ni mbinu za CCM, hata huu pia wa mgeni unauita ni utumwa unataka malaika washuke waje kufanya kazi ya binadamu ndio uridhike mkuu, inafikia mahali watu mkubaliane na hali halisi
Ha! Ha! Ha! Ha! Mbona umemmaliza Mapema ? Ungemuacha apate posho japo ya wiki hii tu ! kuna Mdau alileta huo utafiti juzi kwa uchambuzi Makini sana , siyo hovyo hovyo kama huyu dogo .
The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) can rest assured of remaining in power for the foreseeable future, thanks to rural voters who comprise 80 per cent of the population, according to a study released recently.Why CCM Won't Lose: The Roots of Single-Party Dominance in Tanzania, a report authored by Prof Melanie O'Gorman of the Department of Economics at the University of Winnipeg in Canada, reckons that the party's rural base will keep it comfortably in power for many years to come. The survey lists four main reasons why CCM is the party of choice in the villages – it performed well during the single-party system (24.1 per cent), it is the only strong party (18.6 per cent), it has been good at maintaining peace (18.2 per cent) and it championed independence (8.4 per cent). The findings are based on a study conducted with the assistance of the Morogoro-based Sokoine University of Agriculture in seven regions--Mtwara, Iringa, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Mwanza and Shinyanga.It would appear that opposition parties hoping to trounce CCM must brace themselves for a long wait for the warm feelings for the independence party to fade and for a strong and credible challenge to emerge.According to the study, CCM remains invincible mainly due to the absence of a strong opposition that can penetrate rural constituencies with alternative messages.According to CCM National Secretary-General Abdulrahman Kinana, the findings reflect the reality that CCM is the only party that reaches the majority of Tanzanians and responds to their aspirations.SOURCE: THE CITIZEN
Nafurahi kuona umeguswa hadi ukaamua kutembelea profile yangu! karibu sana, kujiunga tarehe Fulani au mwezi Fulani haimaanishi mtu ni mgeni humu, wengi tumekuwa tukifatilia JF kama guests..nafikiri ukicheki idadi ya guests humu huwa ni wengi sana mkuu