CCM teteeni policies zenu za house girls na house boys; Uchumi wenu ni Umaskini wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM teteeni policies zenu za house girls na house boys; Uchumi wenu ni Umaskini wetu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by niweze, May 5, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Malengo ya ccm yanasema hivi

  "CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo"
  Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM

  Miaka nenda rudi Tanzania imeongezeka kwa umaskini na kuendelea kuwa nyuma kielimu, sekta ya afya na kiuchumi. Viongozi wa serikali ya Tanzania kwa miaka 50 sasa wanafanya nini, tunachokifahamu ni kwamba familia za ccm ndizo zinazofanikiwa. Hizi ndizo policies za kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya uchumi na wanachotaka wananchi wengi waendelee kuwa mahouse girls na house boys ili familia zao wasome kwenye vyuo na shule nzuri, wafungue biashara za kifisadi na waishi maisha ya kifahari.

  Uchambuzi wa uchumi wa Tanzania tunaweza kusummarize hivi, ni madeni ya IMF, World Bank na Donors. Hebu tuwaulize Mkullo na Ndulu, Tanzania inatumia kiasi gani cha mamilioni kwa matumizi ya serikali peke yake? Tanzania inakopa mamilioni kiasi gani kila fiscal year? Vitu vya kuuliza ni hivi?
  1. Revolution ya kilimo imekwenda wapi?
  2. Business empowerment and skills imeuliwa na nani?
  3. Where are strategies for economic expansion?

  "No more chances for ccm in Tanzania"

  Tuangalie Resources za Tanzania zilizoharibiwa na kuzalauliwa na ccm:


  Economy - overview:
  Tanzania is one of the world's poorest economies in terms of per capita income, however, Tanzania average 7% GDP growth per year between 2000 and 2008 on strong gold production and tourism (where're funds?). The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than 40% of GDP, provides 85% of exports, and employs about 80% of the work force. The World Bank, the IMF, and bilateral donors have provided funds to rehabilitate Tanzania's aging economic infrastructure, including rail and port infrastructure that are important trade links for inland countries. Recent banking reforms have helped increase private-sector growth and investment, and the government has increased spending on agriculture to 7% of its budget. Continued donor assistance and solid macroeconomic policies supported a positive growth rate, despite the world recession. In 2008, Tanzania received the world's largest Millennium Challenge Compact grant, worth $698 million. Dar es Salaam used fiscal stimulus and loosened monetary policy to ease the impact of the global recession. GDP growth in 2009-10 was a respectable 6% per year due to high gold prices and increased production.

  Industries:
  agricultural processing (sugar, beer, cigarettes, sisal twine); diamond, gold, and iron mining, salt, soda ash; cement, oil refining, shoes, apparel, wood products, fertilizer

  Natural gas - production (wanazotuibia mafisadi):
  560.7 million cu m (2008 est.)

  Electricity - production:
  3.786 billion kWh (2007 est.)
  country comparison to the world: 120


  https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hata hao donors wamechoka na kuombaomba kwa serikali ya Tanzania na wanatupa ushahuri fix your own problems. Wanachukua mikopo tele na kuiba kwa kasi ili wawe matajiri. Watanzania tunafikiri utajiri wa mtoto wa fisadi kikwete unatoka wapi kama sio kwenye mikopo ya donors na kodi ya watanzania? Mkullo na Ndulu do you guys care, tupeni docs zetu...

  IMF Representative Urges Tanzania to Cut Borrowing, Citizen Says
  By David Malingha Doya - May 5, 2011 4:15 AM CT
  The International Monetary Fund urged Tanzania to reduce borrowing for recurrent expenditure, The Citizen reported, citing the IMF's country representative, John Wakeman-Linn.

  Tanzania's 2010/2011 budget is 11.9 trillion shillings ($7.9 billion), of which 6 trillion shillings came from internal revenue and the rest from domestic and external loans and grants, the Dar es Salaam-based newspaper said. About 7.3 trillion shillings is allocated to recurrent expenditure, while 4.6 trillion shillings is for investment.

  For the past five years, Tanzania has increasingly borrowed to finance recurrent expenditure while tax revenue has stagnated, The Citizen cited Wakeman-Linn as saying.

  The national debt rose by $1.6 billion to $11.2 billion in the year through February, according to Bank of Tanzania monthly Economic Review for March.
  IMF Representative Urges Tanzania to Cut Borrowing, Citizen Says - Bloomberg
   
Loading...