Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
Nipenda hii mkuu, 90% ya wabunge wa magamba ni hasara kwa taifa hili!mkuu ritz, hao ishirini na nne unaowabeza ndo wamefanya bunge lihairishwe twice kwa uwoga wenu magamba sbb ya hoja zao za msingi. wabunge wa cdm na nccr ni mchele na wote waliobaki ni makapi/pumba tu.
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
Nipenda hii mkuu, 90% ya wabunge wa magamba ni hasara kwa taifa hili!
utani gani mkuu? Hao ni wabunge walichaguliwa na wananchi bila RUSHWA tofauti na idadi kubwa ya waajiri wako walionunua ubunge kwa pesa chafu. Kuvuana magamba kumeishia wapi?Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
train inabeba mabehewa zaidi ya 30 ila kichwa chake ni kidogo tu na dreva pia ni mdogo tu,hao sisiem bungeni hata wangekuwa 10000 wabunge watatu tu wa chedema wanatosha kuwatoa kamasi jembamba!
na suburi 2015 ndio mtajitafuta
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
Chama cha mapinduzi kimegeukiwa na wananchi dhidi ya ubabe kwa wananchi wake pale wanapokosa hoja au kuonekana hawana future ya Tanzania ya baadae na wapinzani kuongoza kwa kila hoja na ccm kujikuta kutaka kuzuia ruzuku kwa vyama vya upinzani kutumia polisi kuzuia wapinzani kuzuia tbc kuonesha matukio ya wapinzani kutumia mamluki kuua upinzani kutumia spika kuzima hoja zinazohusu watanzania na kuwanyima wananchi kuona umahiri wa upinzani bungeni wa kuisimamia serikali na Mali ya watanzania. Kama walivyofanikiwa kuiua CUF basi wanajaribu kwa Chadema iliyojidhatiti tangu 1995
Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.
Tugange yajayo! 2015!Nguvu ya umma wabunge 24 hebu wacheni matani.