Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
Chama cha mapinduzi kimegeukiwa na wananchi dhidi ya ubabe kwa wananchi wake pale wanapokosa hoja au kuonekana hawana future ya Tanzania ya baadae na wapinzani kuongoza kwa kila hoja na ccm kujikuta kutaka kuzuia ruzuku kwa vyama vya upinzani kutumia polisi kuzuia wapinzani kuzuia tbc kuonesha matukio ya wapinzani kutumia mamluki kuua upinzani kutumia spika kuzima hoja zinazohusu watanzania na kuwanyima wananchi kuona umahiri wa upinzani bungeni wa kuisimamia serikali na Mali ya watanzania. Kama walivyofanikiwa kuiua CUF basi wanajaribu kwa Chadema iliyojidhatiti tangu 1995