CCM sio wajinga angalia mpango wao hapa

CCM sio wajinga angalia mpango wao hapa

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
997
Reaction score
2,320
Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu..

Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa kwamba kuna uhuru na demokrasia..
Sasa watafanyaje?

Mtu kama Zito anaweza kuwa potential hivyo ili kumpata ni kumuwekea watu "hovyo" au watu ambao hawana lolote..

Kwahiyo basi kuna baadhi ya majimbo mfano ni hili la baba levo
"LAZIMA" yatolewe sadaka ili
"Wapinzani" wapate baadhi ya majimbo!

Kwa hiyo kwa kuweka sawa rekodi haina maana walioteuliwa WOTE watakua wabunge!
Wengine LAZIMA watolewe sadaka ili

Baadae tuambiwe Chadema walisusa "bure tu" mbona wenzao wamepata!!

Sisiemu wajaaaaaaanja kweli kweli...
Kwa sauti ya bwege
 
Sisiemu huwajui vizuri wewe, wale huwa hawana hiruma wanakomba nafasi zote
Rejea uchsguzi wa serikali za mitaa
 
Kutokana na hali ilivyo CCM hawawezi kukubali nchi nzima washinde wao tu..

Kumbuka kuna makubaliano na ACT na Chaumma kuachiwa baadhi ya majimbo ili kuaminisha taasisi na jumuiya za kimataifa kwamba kuna uhuru na demokrasia..
Sasa watafanyaje?

Mtu kama Zito anaweza kuwa potential hivyo ili kumpata ni kumuwekea watu "hovyo" au watu ambao hawana lolote..

Kwahiyo basi kuna baadhi ya majimbo mfano ni hili la baba levo
"LAZIMA" yatolewe sadaka ili
"Wapinzani" wapate baadhi ya majimbo!

Kwa hiyo kwa kuweka sawa rekodi haina maana walioteuliwa WOTE watakua wabunge!
Wengine LAZIMA watolewe sadaka ili

Baadae tuambiwe Chadema walisusa "bure tu" mbona wenzao wamepata!!

Sisiemu wajaaaaaaanja kweli kweli...
Kwa sauti ya bwege
Ujanja gani hapa wakati ni ujinga? Unajua maana ya ujanja?
 
Back
Top Bottom