Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Ingekuwa CHADEMA kingetajwa kama chama cheye mfumo wa kifalme, lakini kwa kuwa ni CCM, sawa tu, A Mornach party. i.e Makamba senior & Junior, Nnauye Senior & Junior, Sumari Senior & Sumari junior, Mwinyi senior & Mwinyi Junior, Karume senior & Karume Junior, Kikwete & Ridhiwan, Kawawa Senior vs Junior, Wasira senior vs junior, Masauni senior Vs Junior, Mongela senior vs junior, Mapachu senior vs junior, mzindakaya senior vs junior orodha ni ndefu inayotengeneza mpaka mduara wa ufisadi. Na wewe ongezea uwajuao.
Umeona mkuu wa-TZ tulivyo mataahira? Eti kuna watu hawaoni kama ni tatizo? Eti wanakwambia uache wivu! Wananitafutia BAN hawa!
Kwahiyo hakuna mfano wa kuigwa isipokuwa marekani mbona kwenye maendeleo hufananishi na marekani kihio
Pole jamani cenzo...ama very sorry nimecheka sana pekee yangu barabarani natembea nikahisi kama nakuona mwenyewe...umejipinda kweli kweli ukifikili unavielelezo toshelezi. Lakini uchambuzi wa wenye vigezo tosha kama wa Ipogolo ukashushia na funga kauli ya mcubic..ka umepigwa upper kati au ya chemba ukaa chini taaratibu.Kwa muelekeo huu tumekwisha hii sumu tulienyweshwa itatumaliza nimeamini ni wengi tuliochukia utumwa na kuukataa na kuupokea utumwa mamboleo kwa mikono miwili hapo ni kawa na kukataa kutumia kitu fulani cha analogy na kuja kukitumia tena kwa njia ya digital ulikikataa na sasa unakitumia tena kisa ni digital
Marekani mpaka sasa Bush wawili mtoto na mwanae washakuwa marais, na akitoka Obama anaingia Bush mjukuu. Tuangalie uwezo na sio familia.
Acha akili za bavicha marekani mpaka sasa bush wawili mtoto na mwanae washakuwa marais,na akitoka obama anaingia bush mjukuu.tuangalie uwezo na sio familia.
Kwa muelekeo huu tumekwisha hii sumu tulienyweshwa itatumaliza nimeamini ni wengi tuliochukia utumwa na kuukataa na kuupokea utumwa mamboleo kwa mikono miwili hapo ni kawa na kukataa kutumia kitu fulani cha analogy na kuja kukitumia tena kwa njia ya digital ulikikataa na sasa unakitumia tena kisa ni digital
Hata kwenye mpira pia ni kumekaa kifalme. Halifan Ngasa Mrisho Ngasa, Jamhuri Kiwelu Mtwa Kiwelu, Blind yule wa Man U alikuwa na baba yake pia, Watoto wa Beckam wapo Arsenal n.k, Siasa ni mchezo kama ilivyo michezo mingine, so relax kijana.