CCM sina hamu nao!!



hapana mkuu wangu, hawapewi pesa mkononi-wanakatwa mbolea bei mbaya, wanakatwa kodi/ushuru/michango haina hesabu, wanakatwa madawa na pembejeo zingine kwa ujumla kwa kiwango kisichokubalika. serikali iko usingizini

kwa taarifa yako wengi wanalaza madeni, wanakatwa pesa inaisha bila kumaliza madeni nilipitia Lupa tinga tinga chunya nibalaa usipime. nilipita pia lalago maswa na mhunze kishapu.


kwenye blue sina pingamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…