Ulikuwepo? Aliyekuwepo anaeleza hali halisi kimbelembele kubisha usivyovijua!Imekuuma sana aise,pole bwana kwani ukweli ni kwamba mji ulisimama na huyo ni mbunge tu.
kama na wewe ni mtanzania basi tuna haki ya Kuwa masikiniJenga Barabara Yako Tu Mkuu. Tuvumiliane Tu Wajameni!