Kama mama kikwete kagundua hilo na kasoma alama za nyakati iweje viongozi wengine wasione hilo kwanini wanazuia mabadiliko kutokea tena kwa kura tuu hao JWTZ wanajifanya hii hali hawaioni,
kweli huko mitaani vijana wengi wana support upinzani na hao vijana hawajui mazuri ambayo CCM waliyafanya kuwa fany hao vijana kuichagua CCM.
Sasa hao synovate na redet wametoa wapi hiyo statistic kuwa JK anaongoza huku wakijua fika kuwa vijana wengi ndio wapiga kula ndani ya nchi hii????