CCM si wasikivu. Wananchi tuchukue hatua!

TANZANIA LEO

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
91
Reaction score
10
Pamoja na maneno yote,mijadala yote, na kusemwa kama wao ndio chanzo cha mkwamo wa katiba. bado hawa watu hawana nia ya kubadilika. na watu wanaosema UKAWA warudi kwa lipi? usiseme warudi tu bila kuangalia kiini cha mkwamo huo. Wakati wa unafiki umekwisha.

Labda nikupe mifano michache. 1. Kama kuna nia ya dhati. kwanini tume ya mabadiliko ya katiba imefutwa?

2. kwa nini tovuti ya tume imefungwa?

3. Kwa nn? vitabu ya randama vilifichwa?

4. kwa nini CCM inashikilia kujadili mambo yasio kuwepo kwenye rasimu?

5. kwa nini CCM ilibadili msimamo ya upigaji kura bungeni?

JE kuna sababu ya UKAWA kurudi?

Tuache unafiki.
 
mwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.
 
Umeilalia wewe!
 
mapambano?hata mapambano/vita zina kanuni zake za kufuata,ku-retreat ni mbinu ya kimapambano pia!
 
Unapambana na kichaa ili kiwe nini? Tumemwacha kichaa apone kwanza ndipo ajitambue
 
Ndugu wananchi ni kwa kiasi gani serikali ya ccm inatuona mambumbu yaani nchi kila wanachotaka wao kwa maslahi ya vizazi vyao ni matakwa ya Watanzania hii ni mpaka lini hii katiba inatungwa Dodoma ni kwa ajiri ya kulithishana madaraka,Majina ni yale yale toka tupate uhuru watoto wa Wakulima hawana akili au vyuo vikuu vya kwetu ni kwa ajiri ya kuuza sigara napipi ajira mwisho Ualimu?
 
mapambano?hata mapambano/vita zina kanuni zake za kufuata,ku-retreat ni mbinu ya kimapambano pia!

Basi endeleeni kupiga kelele nje acheni watu wajadiri jinsi ya kupata katiba mpya, hakuna linaloshindikana.
 
Naomba TLS waende mahakamani kusitisha ubadhilifu wa fedha zetu, lakini zaidi matengenezo ya katiba fake isiyotokana na mawazo ya wananchi.

Waombe mahakama ibatilishe muundo wa bunge maalumu la katiba ili wanasiasa wote waondoke.

Mahakama iamuru tovuti ya Tume ya katiba irudishwe.

Mahakama iamuru uwakilishi wa tume ya katiba katika bunge maalumu.

Iamuru mjadala wa rasimu uanze upya.
 
mwanaume anapambana siyo anakimbilia nje na kuanza kupiga kelele, ingia ndani pambana kwa hoja usitegemee huruma ya wananchi, wana mambo Mengi na majukumu ya familia zao.

Kwani wewe mapambano unayaelewaje? hivyo wanavyo fanya ni mapambano tena makubwa sana kwani sasa watanzania ndio wanapata kujua undani wa ukawa kuamua kujitoa na hakika sasa walio wengi wamejua kuwa TUME YA WARIOBA ILIFANYA KAZI KUBWA TENA YA KIZALENDO SANA.JE, kama UKAWA wasingejitoa tungeyafahamu yote yaliyozungumzwa jana kwa uwazi vile? hayo ndio mapambano.viva ukawa, viva ITV, VIVA WANANCHI, CCM ZIIIIIII!
 
Endeleeni kutumika kwa maslahi ya wanasiasa wenye uchu wa madaraka wanaotetea matumbo yao badara ya maslahi ya nchi,
Turieni watu watunge katiba, anagalie ktk TVs, radio na magazeti.
 
turieni? angarieni? badara? jamani hata kuandika kwa ufasaha hamuwezi! kiswahili kinaharibiwa sana.
 
Back
Top Bottom