CCM Serikali bora duniani

dr.malulu

Viongozi wa CCM bila uchawi na mauwaji ya kishenzi hawawezi kuishi na kuiongoza hii nchi. Kipindi hiki cha uchaguzi maalbino na watoto vichanga wanapotea hovyo huko mikoani na wananchi wanasahu kutafuta wapendwa wao ila wanakwenda kuhudhuria mikutano ya kipuuzi ya CCM.

Viongozi wa CCM wanaroga umma ili tu watawale na kuingiza nchi katika umasikini zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Nilipitiwa na kausingizi kidogo,wakati mwingine unaweza kupata mawazo then ukagundua ni kazi kubwa kuyatatua.Ikifikia hatua ya kukata tamaa katika nchi uliyozaliwa,kukulia na utakufa,sasa what next?

CCM kimekua chama cha ajabu sana dunia na kinachonishangaza...nalala tena ntaendelea
 
Katika bara la africa CCM wanaongoza kwa kuijua siasa vizuri tunaita propaganda....haya ndo yananifanya niamini kuwa CCM ni wakali kuwashinda itatuchukua miaka 100 ijayo
  1. Goli la mkono lina maana pana sana. Kwanza waliotangaza nia wamefanya kampeni ya kutosha kukiweka chama sawa
  2. Tarehe ya kuandikishwa Dar imesogezwa mpaka tar 16 July hapo hapo ccm watakuwa wameshamaliza kumpata rais atayechukua mikoba ya JK
  3. UKAWA wamelala usingiza majimbo 21 hawajakubaliana hapo hapo CCM ndo watawapiga rungu lao
  4. CCM bado wanamtaji mkubwa wa Kisiasa
  5. ACT Wazalendo kuharibu kura kadhaa za UKAWA
  6. CCM ndio kila kitu TZ
  7. UKawa mgombe urais anayejulikana mpaka sasa ni Lipumba ndio aliyetangaza wakati CCM wao anapatikana Tar 11 July
  8. UKAWA kuvurugika siku ya kumpata RAIS atakayesima
 
mh huu ni utafiti au ni maoni yako binafsi?
 
Mkuu rais anatoka dodoma... ndo maana hata ukawa wanashabikia kinachoendelea dodoma katika kupata rais ajae....
 
Hapo upo kwenye msumbari wa moto umeukalia na unasikia raha sn, ww unakurupuka kutoka usingizini na kamwe hamuwez kujua mipango ya Ukawa utasubiri sn ila simbaya unajifariji tu.

Ndio maana tunawaambia act ni ccm b, kama ni chama cha upinzani kwann waharibu kura za wapinzani fikir kwa akili acha kufikiri kwa Mat......a k......
 

Mkuu wewe ni kiboko sana
 
ukimaliza kula nenda kanye then kitandani moja kwa moja kulala. maana kwenye post yako pumba ni 75%
dr.malulu

Wewe nenda kapige mswaki kwanza utoe harufu ya viroba
 
Last edited by a moderator:
...naamini huyu jamaa ni fisadi, kama maisha halisi ya mtanzania unayafahamu vilivyo pa si na ushabiki kamwe narudia kamwe huwezi kuipenda ccm...

Anaye ipenda ccm ni kulakulala tu
 
rudia kusoma kwenye post yake huyo jamaa. kwa kila bullet yake inakasoro. toka nje ya box ndo uelewe ninachokisema. lakini kama tayari uko bias huwezi kunielewa.

siasa za ccm hizoo...
nje chungulia kenya road kuna fly over kitambo.
nyie mkifa.nya ni kwa ajiliya kampeni za kuomba kula mfano timing zakumaliza daraja la kigamboni na mabasi ya KASI DORO JIJINI DAR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…