dr.malulu
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 133
- 60
Ni ccm pekee,makini,imara na inayojali wananchi wake!.
1. Ni serikali pekee yenye uwezo wa kujenga balabala na zikadumu kwa miezi mitatu au mnne,mfano (mwenge tegeta),na kuwa mbovu na isiyopitika kwa dreva mlemavu anaeendesha kwa mkono mmoja.
2. Ni umakini wa ccm tu,inayoweza kujenga shule nzuri ya kupendeza,na kukumbwa na ukosefu wa walimu,madawati,na hata majengo kujaaa nyufa.
3.Ndio wao tu wanaoweza kujenga hospital na hata wasipeleke dawa milele.
4.Hakuna kwingine duniani ambapo waziri anaweza kutamani wananchi wale nyasi ili anunue ndege ya rais,na akawa salama mtaani kwake.
5. Ni serikali hiyo hiyo tu ambayo wananchi wake hasa vijana wamelogwa na mchawi wao kupoteza maisha,hivyo kua na hakili kama za kuku na kwale asietumia mayai yake bila kujua ni tiba.
6. Ni ccm tu na serikali yake,inayoamini watanzania ni wa mwaka 47 ,hata waongozwe na fisadi,au darasa la saba!
7. Hakuna kwingine dunia ambapo serikali imejenga magereza kwa ajili ya masikini tu.wezi wa kuku,vibaka na si kwa wala rushwa,mafisadi !
8. Ndo serikali yenye mali asili nyingi dunian ila ikawa na uchumi mbovu,na hata kuzidiwa na nchi zenye migogoro ya kivita kila wiki.
9.Ni tanzania pekee ambapo professa anaweza kuacha taluma yake kwa cheo,na hata kuamini ndio hata kwa mabaya.
10.Ndo ichi pekee yenye watumishi wauza madawa ya kulevya na kuendelea kutumia kodi za wananchi kuendesha kampany ya matumiz ya madawa.
11. Ndo wao pekee dunian,wenye uwezo kuiba kula za wananchi kwa goli la mkono.
12. Peke yao dunian,wenye roho ngumu ya kuongoza nchi kwa miaka 50 bila maendeleo ata kidogo,na bado wakahis they can.
13.Ndo ccm ambayo viongozi wa serikali yake ,inamiliki maeneo makubwa ya ardhi mara mia ya wannchi wake wa kawaida.
14. Ndo wao pekee wanaotoa ahadi hewa hata kwa wazee kuhusu matibabu bila kuogopa radhi......
15. Naenda kula ,nikiludi naendelea......