CCM Serengeti imeanza kusambaratika

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
Hodi wanajamvi

Ni Furaha kwetu wanaChadema maana Makamanda wetu tuliowatuma ndani ya ccm wameanza kazi nzuri hapa Serengeti.

Tukielekea uchaguzi Mkuu,Huku jimboni kwetu Serengeti Tayari chama cha Mapinduzi kimeanza kusambaratishwa na masalia wetu waliotoka chadema wakiongozwa na Mbunge wetu Marwa Ryoba na Mwenyekiti wa council Juma Porini Ambaye ni Diwani wa Kata ya Natta

Tayari Ryoba ametekeleza maagizo ya chama chetu cha chadema juu kuhakikisha Watu tishio wanadhibitiwa na kuondolewa kabisa huko ccm tulikompeleka kufanya ujasusi,

Tayari Marwa Ryoba na Porini wameshawaweka mkononi Mwenyekiti wa chama wilaya Mr Bega na Baadhi ya Viongozi wa Uvccm wilaya,

Utekelezaji umeanza Tayari tumefanikiwa kumsimamisha uongozi katibu mwenezi wa Kata ya Natta,Eneo analotawala Mwenyekiti wa council Kama Diwani,Pia Mwenyekiti wa ccm wilaya amefanikisha maelekezo yetu na kumsimamisha katibu wa ccm Kata ya robanda.

Tulipokwama ni kwamba Barua zetu zimekwama kusainiwa na katibu wa wilaya na Huyu katibu wa wilaya amekuwa kikwazo kwa mipango yetu ya chadema kupenya ndani ya ccm kwa kiasi Fulani lakini Mwenyekiti wa wilaya anajitahidi kutukingia kifua,

Good news Makamanda ni kwamba Tayari Mhe Ryoba ameshapeleka barua hizo Dodoma makao mkuu na ameambatana na Mwenyekiti wa council Juma Porini kwaiyo kila kitu kitarekebishika maana tuna Mtu wetu hapo ccm makao mkuu atakaezipitisha na sambamba na hilo tunataka Huyu katibu wao wa ccm aondolewe hapa ili aletwe anaefuata maelekezo ya chadema.

Makamanda People's

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache kula vimolo...hapa unajaribu kuwachanganya ukajikuta unajichanganya mwenyewe!

Minyukano ndani ya Chama ndo kwanza imeanza wewe mwanaCCM mwenzangu!
 
Umechanganyikiwa wewe ,sio bure

ACHA KUJICHANGANYA.
Serengeti hakuna kitu kinachojulikana kama
Kata ya Robanda .
Kama kuna wanachama au viongozi waliokosea kanuni na taratibu lazima washughulikiwe.
Katibu unayemsema credibility yake iko questinable kwa sababu anamgombea aliyembeba.
Mwkt Serengeti usitetereke na watumishi wanaochafua chama, nakupongeza endelea kuwashughulikia kikamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge hujambo

Kakalase.
Tulia, siasa za Rushwa awamu hii hazina nafasi.
Ukitaka rudi Mugeta, vinginevyo uwakala na Rushwa za wagombea haviruhusiwi.
Mwenyekiti kanyagia hapohapo kuna jiwe limewapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hodi wanajamvi

Ni Furaha kwetu wanaChadema maana Makamanda wetu tuliowatuma ndani ya ccm wameanza kazi nzuri hapa Serengeti.

Tukielekea uchaguzi Mkuu,Huku jimboni kwetu Serengeti Tayari chama cha Mapinduzi kimeanza kusambaratishwa na masalia wetu waliotoka chadema wakiongozwa na Mbunge wetu Marwa Ryoba na Mwenyekiti wa council Juma Porini Ambaye ni Diwani wa Kata ya Natta

Tayari Ryoba ametekeleza maagizo ya chama chetu cha chadema juu kuhakikisha Watu tishio wanadhibitiwa na kuondolewa kabisa huko ccm tulikompeleka kufanya ujasusi,

Tayari Marwa Ryoba na Porini wameshawaweka mkononi Mwenyekiti wa chama wilaya Mr Bega na Baadhi ya Viongozi wa Uvccm wilaya,

Utekelezaji umeanza Tayari tumefanikiwa kumsimamisha uongozi katibu mwenezi wa Kata ya Natta,Eneo analotawala Mwenyekiti wa council Kama Diwani,Pia Mwenyekiti wa ccm wilaya amefanikisha maelekezo yetu na kumsimamisha katibu wa ccm Kata ya robanda.

Tulipokwama ni kwamba Barua zetu zimekwama kusainiwa na katibu wa wilaya na Huyu katibu wa wilaya amekuwa kikwazo kwa mipango yetu ya chadema kupenya ndani ya ccm kwa kiasi Fulani lakini Mwenyekiti wa wilaya anajitahidi kutukingia kifua,

Good news Makamanda ni kwamba Tayari Mhe Ryoba ameshapeleka barua hizo Dodoma makao mkuu na ameambatana na Mwenyekiti wa council Juma Porini kwaiyo kila kitu kitarekebishika maana tuna Mtu wetu hapo ccm makao mkuu atakaezipitisha na sambamba na hilo tunataka Huyu katibu wao wa ccm aondolewe hapa ili aletwe anaefuata maelekezo ya chadema.

Makamanda People's

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maelezo uliyoyatoa ambayo hayana ushaidi yatakugharimu.CCM sio kama unavyoifikiria wewe,ipo tofauti sana.
 
Naona mwanaccm unamchongea Ryoba ccm mhamiaji kwa wakubwa.
 
Back
Top Bottom