CCM sasa waanza kuumbuana

Hivi ile tcscan ya Muhimbili mliinunua kutoka wapi vile?

Mtaa Ufipa kwny zile 12 Billion.
Fupa la Lowassa mnalo hilo kishajitangaza kugombea Urais 2020 hakuna cha Kamati kuu wala Secretariet kuamua chochote.
 
Mtaa Ufipa kwny zile 12 Billion.
Fupa la Lowassa mnalo hilo kishajitangaza kugombea Urais 2020 hakuna cha Kamati kuu wala Secretariet kuamua chochote.
Hivi hujui kuwa lowasa ndiye rais wa watanzania takriban 25 million?
 
Hivi hujui kuwa lowasa ndiye rais wa watanzania takriban 25 million?

Hizo Nyimbo mlimuimbia sana Dr.Slaa 2010-2015 mlipopokea Mrahaba wa Mafisadi July 2015 mkaudanganyia Umma eti Mlifanya Research mkagundua yule 'Rais wa Mioyo ya Watanzania' hana ubavu wa kuitikisa CCM.
Mbowe akimpata mteja Mzuri zaid hata Lowassa irabidi ajipange sana
 
Unajua maana ya chama kushika hatam?
Chama kiko juu ya serikali !!!!
 
taarifa ya habari itv leo kuhusu hawa wavujajasho! wazalendo! imeniuma mno! kwanini wasipewe stahiki zao?! haya ni muendelezo wa kuchagua chama kile kile!, wagombea wale wale! ilemela!, chadema sijawahi kuona upuuzi wa namna hii! hii inatokea ccm tu!
 
Serikali iko kwenye peak ya kukusanya.......wavumilie watalipwa !!!
 
taarifa ya habari itv leo kuhusu hawa wavujajasho! wazalendo! imeniuma mno! kwanini wasipewe stahiki zao?! haya ni muendelezo wa kuchagua chama kile kile!, wagombea wale wale! ilemela!, chadema sijawahi kuona upuuzi wa namna hii! hii inatokea ccm tu!
Ccm ni janga lkn naona mwisho wao ndio unakaribia maana wanaharibu kila sehemu walipo saidiwa
 
Mbowe aliwadanganya hakuna kulala mpaka kieleweke usimsikilize nenda kalale yeye Mwenyewe hakeshi.
Yaani maccm yana kata tawi mlilo karia
 
MKUU NADHANI SEACLIF ANGE FAHAM TU KUA KWA SASA SERIKALI NDO CCM NA CCM NDO SERIKALI HADI ITAKAPOKUA VINGINEVYO. MAMBO YAMEBADILIKA SANA KWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…